Sentensi tisa za Ali MUFURUKI baada ya Wagombea Urais wa CCM kutofika kwenye Mdahalo leo June 08 Dar
Leo June 08 2015 kulikuwa na mdahalo wa Wagombea wa Urais TZ ambao wanawakilisha CCM.. Mdahalo ulianza saa moja jioni Hyatt Regency Dar lakini Wagombea wengi hawakufika aliyefika ni Mgombea mmoja…
Kauli ya David De Gea kuhusu Manchester United na Real Madrid.
Habari ambazo mashabiki wa Manchester United wamekuwa wakihofia kuzipata hivi karibuni hatimaye zimekuwa kweli baada ya kipa namba moja wa klabu iyo Mhispania David De Gea kuiambia klabu hiyo…
Fahamu rekodi ya kipekee Andres Iniesta .
Unapozungumzia ubora wa mchezaji si wengi wanaweza kubishana na ukweli kwamba Andres Iniesta ni moja kati ya viungo bora kwneye soka la kimataifa na ameweza kubakia katika ubora na…
Maneno 20 ya Spika Anne Makinda kwa Wabunge wasiotumia Smartphone !! (Audio)
Kumbe kuna Wabunge hawana smartphones? Niliwahi kuipata stori kutoka Uganda kwamba Wabunge walipatiwa Ipad ili kuachana na ishu za makaratasi kwenye shughuli za Bungeni za kila siku. Leo nina hii ishu…
Manchester United ndio klabu yenye thamani kuliko zote duniani.
Klabu ya Manchester United ya nchini England imetangazwa kuwa klabu yenye thamani kuliko zote duniani kufuatia utafiti uliondeshwa katika kipindi cha miezi 12 iliyopita , utafiti uliohusisha klabu kubwa…
Picha 6 za jumba la Asamoah Gyan lenye thamani ya bil 6
Asamoah Gyan ni mmoja wa wachezaji wanaolipwa vizuri kutoka katika bara la Afrika, na hakuna uthibitisho mzuri wa kuonyesha ukubwa malipo yake zaidi ya ili hii mali mpya alionunua, jumba…
Oscar Pistorius kutoka jela? hapa kuna hii stori
Licha ya kifungo cha mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius kuwa miaka mitano tangu alipohukumiwa mwakja jana, kuna taarifa huenda adhabu hiyo ikapunguzwa. Mwanariadha huyo ambaye ni mlemavu alipatikana na…
Tofauti ndani ya Real Madrid.
Zikiwa zimepita siku tano pekee tangu Rafael Benitez alipotambulishwa kuwa kocha mpya wa Real Madrid kufuatia klabu hiyo kumfukuza kazi Mtaliano Carlo Ancelotti , tayari kocha huyu mpya ameanza…
Shetta yuko kwenye show Mwanza, nini kilifuatia baada ya vurugu kutokea?? >> #UHeardD (Audio)
Mkali wa hit ya 'Shikorobo', baba Qaira aka Shetta alikuwa kwenye show Mwanza... mtu kamsaka Soudy Brown na kumpa story kwamba ilitokea vurugu baada ya show hiyo kuisha, Shetta kamuahidi mtu…
Polisi wa Marekani amelalamikiwa kwa ubaguzi, ishu ni hiki alichomfanya huyu msichana.. (Pichaz & Video)
Story za watu weusi kuuawa Marekani iligusa wengi, mmoja ya waliouawa ni kijana Freddie Gray ambaye aliuawa mikononi mwa Polisi kwenye mji wa Baltimore, Marekani.. leo iko hii nyngine inayohusu…