Magazeti ya Tanzania Septemba 18, 2015.. Udaku, michezo na hardnews !
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Ijumaa Septemba 18, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews, zote ziko…
Beki wa Manchester United kufanyiwa upasuaji kwa mara ya pili (+Pichaz&Video)
Beki wa klabu ya Manchester United Luke Shaw ambaye alivunjika mguu katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya klabu ya PSV Eindhoven ya Uholanzi, anatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa pili siku…
Pichaz za Jay Z, Beyonce na mtoto wao wakienjoy katika boti ya kifahari zipo hapa…
Jay Z na Beyonce ni miongoni mwa couple zenye nguvu zaidi, wasanii hao maarufu wamepigwa picha wakiwa na mtoto wao wa miaka 3 Blue Ivy katika boti ya kifahari ambayo…
Hadi kufikia June 2013 haya ndio yalikuwa maajabu 10 ya Dubai (+Pichaz)
Miongoni mwa sehemu nzuri na zakuvutia kutembelea katika hii Dunia basi Dubai haiwezi kukosa, Dubai unatajwa kuwa mji wa kitalii na kibiashara, wengine wanautaja kama pepo ya watalii. Mji huo umejengeka…
Unamkumbuka yule mzee maarufu katika ushangiliaji wa Kombe la Dunia Brazil? Amefariki..
Mpira wa miguu ni mchezo uliyoteka hisia za watu wengi na ndio mchezo unaohusisha wachezaji 11 na shabiki anatajwa kuwa mchezaji wa 12 kwa kazi yake ya kushangilia tu, inaaminika kuongeza hamasa…
Tazama TBT pichaz za mastaa wako wa soka Thomas Ulimwengu, Benzema na Bale wapo pia…
Imekuwa kama utamaduni sasa wa watu kuweka picha zao za zamani katika account zao za mitandao ya kijamii kila Al Hamisi ikifika, September 17 millardayo.com inakupa nafasi ya kuona picha za…
Sauti Sol wanaisogeza kwako video ya ‘Isabella’! (Video)
Sauti Sol kwenye headlines za burudani... baada ya kuachia ngoma yao ya 'Shake Yo Bum Bum' kundi hilo maarufu kutoka Kenya limerudi tena kutupa burudani nyingine ya kipekee! Official video…
Kama ilikupita ile stori ya uwanja wa tennis wa kuvutia Dubai nimekuwekea hapa (+Pichaz)
Huenda ukawa umesikia stori nyingi kuhusu Dubai ila hii ikawa ilikupita, Dubai ni moja kati ya sehemu zinazoongoza kuwa na majumba ya kifahari hoteli nzuri, karibia kila kitu kilichomo ndani ya…
Aliona njia pekee ya kutoroka na jiwe la almasi ni kulimeza… Kilichofuata ni stori nyingine!
Nimekutana na stori kutoka Thailand inayomhuusu mwanamke mmoja kutoka China kukamatwa na almasi tumboni mwake... Jiang Xulian ni raia wa China ambaye aljikuta matatani na polisi baada ya yeye na…
Vifaa vya ‘Kwetu Studio’ vimeibiwa, gharama yake vipi? Soudy Brown ana Stori yote..#Uheard
Director wa Kwetu Studio Msafiri ambaye amerekodi ngoma mbalimbali ikiwemo ngoma ya 'Sielewi', ngoma za Hemed PHD na nyingine amesema wameibiwa vifaa baada ya kuvamiwa wakiwa hotelini, katika vifaa vilivyoibiwa ni…