Sentensi kumi za Ngeleja kuhusu kilichofanya asimamishwe Uwaziri, kingine ni ishu ya Urais wa TZ.. (Sauti & Pichaz)
Siasa na headlines zake kila kukicha, ninayo hii ya jana JUNE O4 2015 Mwanza.. Kama ulipitwa nimeamua kukusogezea hizi sentensi 10 za Mbunge William Mganga Ngeleja akizungumzia sababu ya kusimamisha…
Mambo magumu Man United, kwani Di Maria anaihama Klabu hiyo??
Baada ya tetesi za muda mrefu zikimhusisha na kuihama klabu ya Manchester United baada ya msimu mmoja ambao umeonekana si wa mafanikio sana, kiungo raia wa Argentina Angel Di Maria…
Baada ya kununua nyanya za kopo Supermarket, kufungua ndani kilichokutwa ndani ni ishu yani !!
Pata picha unaingia zako supermarket, unanunua mahitaji mbalimbali ya jikoni na unabaki na hesabu moja tu nyepesi kwamba ukifika home kazi yako ni kupika, alafu unakuja kufungua unakutana na vitu vya ajabu. Muhammad Hussain…
Kuna watu walitaka kumdhulumu Mzee Majuto, mzee akaona aipeleke ishu kwa Wema Sepetu !! >> #U_Heard
Kuna watu ambao walimuita Mzee Majuto kwenye show wakamuahidi kumlipa mil.2, baada ya show wahusika hawakumlipa… Mzee Majuto ikabidi amtafute Wema Sepetu ambae alimuunganisha na watu hao. Mzee Majuto amesema…
Collabo ya Chillah ni nje ya TZ? Post ya Adam Juma kumbe iliwahusu watu !! Yamoto Band watatoka mmoja mmoja?
Msanii Q Chillah ameachia rasmi kabisa video ya wimbo wake mpya- 'For You' (Mdogo Mdogo) ambapo amesea Chillah amesema amerekodi ngoma akiwa huko, hajafanya na staa yoyote lakini jicho lake…
Hii ndiyo idadi ya waliofariki kwenye ajali ya moto Ghana mpaka sasa.
Ripoti ya jana alhamis ilionyesha idadi ya watu 96 kupoteza maisha kutokana na ajali ya moto iliyotokea katika kituo cha mafuta katika mji mkuu wa Accra Ghana. Hii ni idadi…
Habari njema kwa familia ya Rapper Ludacris na mkewe Eudoxie!!
Rapper Ludacris alifunga ndoa na mkewe Euxodie mwaka jana na leo kuna habari mpya kutoka ndani ya familia hiyo. Familia hiyo imejaliwa kupata mtoto wa kike ambapo taarifa hizo zilitolewa…
Mapokezi ya Obama Kenya itakuwa kama ilivyokuwa TZ? Stori kubwa kwa sasa ni hii Magazetini Nairobi..
Headlines nyingine kubwa East Africa ni ishu ya Rais Obama kutua Kenya July 2015.. alivyokuja TZ bila kwenda kwao Kenya ni kama watu wa 254 hawakuichukulia poa hivi.. aliahidi atakwenda…
Ujio rasmi wa Q Chillah kwenye hii Video mpya – ‘For You’ (Mdogo Mdogo)
Audio ya 'For you' (mdogo mdogo) ilitoka muda mrefu na sasa inafanya vizuri katika vituo mbalimbali vya redio, sasa Q Chillah ameamua kutoa video ya wimbo wake huo. Kazi ya…
Wanachama wa DECI kulipwa fedha zao, LOWASSA hana mpango wa kushindwa na Mama aiba mtoto kulinda ndoa…MAGAZETINI JUNE 05
NIPASHE Serikali imesema kuwa inafanya utaratibu wa kuwalipa fedha takribani Sh. bilioni 19 za waliokuwa wanachama wa Taasisi ya Development Entrepreneurship Community Initiative (Deci). Waziri wa Fedha, Saada Mkuya, alisema…