Real Madrid tayari wamemtangaza kocha wao mpya !!
Hali ya hewa haikuwa sawa Hispania baada ya Real Madrid kumaliza msimu bila ushindi wa Taji lolote, maamuzi magumu yakafanya kwa kumsimamisha aliyekuwa Kocha wa Klabu hiyo, Carlo Ancelotti. Klabu ya…
Kujiuzulu kwa Blatter haijatosha, kazi inaendelea na Maofisa wa Marekani !!
Ikiwa ni saa chache baada ya Rais wa Shirikisho la soka duniani FIFA, Sepp Blatter kutangaza kuwa atajiuzulu wadhifa huo kuna habari nyingine zinamuhusu Rais huyo. Rais huyo ambaye alipewa…
#MAGAZETINI JUNE 03…Mbunge wa Ukonga afariki usingizini, Makada watano kuchukua fomu leo na SITTA avunja bodi ya TPA
MTANZANIA Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU), imetakiwa kukunjua kucha zake kwa wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25. Mwenyekiti mwenza…
Picha nyingine mitandaoni ikimuonesha Rais Mugabe amesinzia kwenye sherehe Nigeria !!
Sio picha ya kwanza kutoka ikimuonesha Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe akiwa amesinzia kwenye matukio mbalimbali makubwa.. safari hii kapigwa tena picha akiwa amesinzia wakati wa sherehe za kuapishwa Rais…
Huu ni mwonekano wa kilichoandikwa #Magazetini JUNE 03 2015.. Udaku, hardnews na Michezo kuna hizi kubakubwa leo
Ungana na mimi tena kwenye post hii ya Magazeti, post maalum ambayo huwepo hapa millardayo.com kila siku kwa ajili ya kuyasogeza karibu yako Magazeti mbalimbali ya Tanzania na habari zake kubwakubwa…
Msichana aliyetokwa machozi baada ya kumwona Rais Kenyatta leo kakaribishwa kabisa Ikulu.. (PICHAZ)
Mara ya kwanza msichana huyu jina na picha yake viliingia kwenye Headlines baada ya kuonekana akisalimiana na Rais Kenyatta huku akitokwa machozi.. Kumbe ni Rais Kenyatta aliyemwona msichana huyo akitokwa…
Naibu Spika Job Ndugai akitoa taarifa ya msiba wa Mbunge, ratiba ya kuaga mwili na mazishi (Audio)
Kwenye siasa story zinazotawala headlines kwa sasa hivi nyingi zinahusu harakati za Wagombea kuanza kampeni zao.. lakini hii inahusu majonzi kwenye upande huohuo wa kisiasa. Mama Eugene Mwaiposa alikuwa Mbunge wa Jimbo…
Ben Pol anashoot nje ya TZ? Madee na mpango wa Baunsa je? Dr. Maro nae kasikika hapa >> #255 (Audio)
Labda umepita kwenye Social Networks ukaona pichaz ambazo msanii Ben Pol ametupia akiwa nje ya TZ.. yes, katupa exclusive kwamba yuko Ujerumani ambako amekutana na Emmanuel Austin ambaye walirekodi nae wimbo,…
Ushahidi wa rushwa waliyotoa South Afrika ili kupewa uenyeji wa kombe la dunia huu hapa
Kwa takribani wiki mbili sasa neno 'rushwa' limekuwa likiliandama sana shirikisho la soka duniani FIFA. Wiki iliyopita maafisa 10 wa shirikisho hilo walikamatwa na serikali ya Marekani kwa kujihusisha na…
Picha zimevuja mitandaoni, eti hii ndio jezi mpya ya Man United??
Imekuwa utamaduni wa klabu mbalimbali Ulaya kuzindua jezi mpya kila msimu ambapo jezi hizi huingia sokoni na kuuzwa kwa mashabiki wa klabu husika huku klabu hiyo ikijiingizia kipato ambacho…