Magazeti ya Tanzania Septemba 13, 2015.. Michezo na hardnews !
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumapili Septemba 13, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Michezo na Hardnews, zote ziko…
Matokeo ya Man Utd vs Liverpool nimekuwekea hapa
Ule mtanange uliokuwa unasubiriwa kwa hamu baina ya wapinzania wa jadi wa ligi kuu ya Uingereza, vilabu vya Manchester United dhidi ya Liverpool umepigwa usiku huu. Mchezo huo uliopigwa…
Hiki ndicho kilichowakuta Espanyol walipocheza na Real Madrid leo
Ligi kuu ya Uhispania imeendelea leo baada ya mapumziko ya kupisha mechi za kimataifa kumalizika, Real Madrid walisafiri mpaka jijini Barcelona kwenda kucheza na Espanyol. Mchezo uliopigwa katika dimba…
Nimekusogezea matokeo ya Arsenal vs Stoke na Man City vs Crystal Palace
Baada ya mchezo wa mchana kati ya Chelsea vs Everton, Barclays Premier League imeendelea kutimua vumbi kwenye viwanja tofauti nchini Uingereza. Arsenal wakiwa nyumbani waliikaribisha timu ngumu ya Stoke…
Tayari ninayo matokeo ya mechi ya African Sports Vs Simba (+Pichaz)
September 12 ndio siku ambayo pazia la Ligi Kuu Tanzania bara limefunguliwa kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja tofauti tofauti, mchezo uliyokuwa umeteka hisia za watu wengi ni mechi kati…
Matokeo ya Chelsea vs Everton nimekuwekea hapa
Baada ya mapumziko ya takribani siku 14, ligi kuu ya England maarufu kama Barclays Premier League imeendelea mchana wa leo kwa mchezo mkali kati ya Chelsea dhidi ya Everton. …
First Eleven ya African Sports Vs Simba (+Pichaz)
Dakika kadhaa kabla ya mchezo kuanza nakusogezea first eleven ya timu zote mbili. African Sports mwenyeji wa mchezo huu Yusuph Yusuph 30 Ayoub Masoud 2 Mwaita Gereza 21 Juma Shemvuni…
Pichaz za mwanzo kutoka uwanja wa Mkwakwani Tanga African Sports Vs Simba
September 12 ni siku ambayo Ligi Kuu Tanzania bara itazinduliwa rasmi kwa michezo kadhaa kupigwa, lakini millardayo.com inakuweka karibu na moja kati ya michezo ya Ligi Kuu. African Sports ya…
Ninayo mpya kabisa kutoka kwake K.O; ‘One Time’ .feat. Maggz na wengine. (Video)
Headlines za burudani weekend hii zinawekwa na Mr Cashtime maarufu kama K.O kutoka South Africa... Baada ya kushirikishwa kwenye collabo ya mtu wetu Vee Money Vanessa Mdee sasa K.O amerudi…
Alikuwa na ndoto ya kuwa staa mkubwa wa movie Nigeria, akaenda kwa mganga, kilichotokea..!?
Kuwa na ndoto kubwa ni kitu kizuri sana, lakini juhudi za jinsi gani tutatimiza ndoto zetu sio sawa kwa watu wote, wengine wanaamini kupiga kazi mpaka mpale juhudi za kazi…