Mama wa Ray C kuhusu mwanae, Barakah Da’ Prince kwenye ugomvi wa Edo Boy na Young Killer? Jux Je?..#255
Ray C aliandika kwenye ukurasa wake wa @Instagram kuhusu ishu ya kutishiwa maisha... 255 ikapata nafasi ya kupiga stori na mama wa msanii huyo, amesema hajui chochote kuhusu maneno aliyoyaandika mtoto wake…
Nuru the Light na #Hekaheka ya kukimbiwa na marafiki zake baada ya kuletwa bili mezani… (Audio)
Hekaheka ya leo inamuhusu msanii Nuru The Light... anasema wakati anakuja Tanzania akitokea Sweden alialikwa kwenye harusi na akakutana na kijana mmoja ambaye alitokea kumpenda sana.. baada ya muda yule…
Hii ni nyingine mpya kutoka kwa Wakazi; ‘Amka Mtanzania’ (Video).
Baada ya kuachia audio ya wimbo wake mpya 'Paid My Dues', mkali wa muziki wa Hip Hop Tanzania, Wakazi amerudi kuziandika headlines kwenye kurasa za burudani. Tukiwa bado tunaendelea kusubiri official video…
Nahodha wa Timu ya Taifa ya Ghana na ubora wake kwenye ligi kuu Uingereza!!
Nahodha wa timu ya Taifa ya Ghana na Mshambuliaji wa klabu ya Swansea City Andre Ayew amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi uliopita katika ligi kuu ya Uingereza. Ayew mwenye…
Pambano la kesho la Floyd Mayweather linauza? Promo hakuna? Tiketi je?
Pambano la Floyd Mayweather na Manny Pacquiao May 02 2015 lilivunja rekodi nyingi ikiwemo ya mauzo ya Ticket, ticket ziliuzwa kati ya Dola 1,500 na Dola 10,000 lakini ndani ya…
Sauti Sol wamerudi tena kwenye headlines za burudani na single yao mpya ‘Isabella’..(Audio)
Kundi la Sauti Sol kutoka Kenya inazidi kufanya vizuri kwenye industry ya burudani ..wamerudi tena kwenye headlines za burudani baada ya kuachia single yao mpya inaitwa 'Isabella'. Sauti Sol wanatamba…
Weekend hii Juicy J anaisogeza kwako ‘Miss Mary Mack’ .feat. Lil Wayne & August Alsina. (Video)
Juicy J amerudi tena kuziandika headlines kwenye kurasa za burudani, baada ya kupotea kidogo rapper huyo amerudi tena kutupa burudani na video ya ngoma yake mpya kabisa. Wimbo unaitwa 'Miss Mary…
Hapa ni Beyonce na Jay Z wake, pembeni Kelly Rowland na mume wake.. Full kuenjoy ndani ya Italy.. (Pichaz)
Beyonce na Kelly Rowland ni mastaa waliotengeneza Historia na kuwa ndugu wa karibu ambao wamelelewa kwenye familia moja tangu utotoni... kiukweli wao ni moja ya mifano ya mastaa ambao wanapendana kwelikweli.…
StoriKubwa >>> Mufti mpya Tanzania, waangalizi Uchaguzi Mkuu 2015.. Lowassa, CCM.. Magufuli? Kipindupindu Dar? (Audio)
Ijumaa September 11 2015 imeanza na uchambuzi wa magazeti redioni @CloudsFM, kama hukuweza kusikiliza uchambuzi wa magazeti asubuhi hii karibu uzipate zile kubwa zilizogusa vichwa vya habari Tanzania. BAKWATA yampitisha Sheikh Abubakar…
Jay Z na Beyonce ni wapangaji, nyumba yao imeuzwa.. wanahama lini? Zimebaki siku hizi hapa…
Ndani ya Los Angeles Marekani, Rapper Jay Z na mkewe Beyonce pamoja na mtoto wao Blue Ivy ni wapangaji kwenye mjengo ambao taarifa ikufikie kwamba mjengo wenyewe kumbe tayari umeuzwa…