Khadija Kopa, Diamond, Makomando, Walter Chilambo kwenye stage ya Lowassa Arusha
MAY 30 2015 Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha ilikuwa siku ambayo Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa alitangaza rasmi kwamba ataomba kibali cha CCM ili agombee Urais…
Sentensi 18 za Edward Lowassa akitangaza kugombea Urais Arusha.
May 30 2015 inakuwa siku ambayo inaingia kwenye Historia kubwa kwenye ishu za siasa Tanzania.. bado miezi michache ufanyike uchaguzi mkuu, mmoja ya watu ambao walitajwa sana na kuwa kwenye…
Tayari Edward Lowassa kaingia kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, ninazo pichaz nyingine hapa
Ninayo Ripoti nyingine toka Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid Arusha, watu walianza kuingia toka saa moja asubuhi. Mbunge Edward Lowassa tayari kaingia Uwanjani, kinachosubiriwa ni hotuba yake. Kulikuwa…
Hapa Psquare pale Awilo Longomba kwenye hii Video ‘Enemy Solo’…
P-square wamerudi tena kwenye headlines za leo na ngoma yao mpya ya Afro-pop ndani yake ameshirikishwa mkongwe wa Muziki wa Congo Awilo Longomba. Nyimbo inaitwa "Enemy Solo". Video imetengenezwa Vtek na…
Dubai wamekuja na hii teknolojia ya uwanja chini ya bahari!!..(Pichaz)
Dubai ni moja kati ya miji inayokua kwa kasi sana duniani. Na ni miongoni mwa miji ambayo inafahamika kwa majengo ya kipekee na kifahari huku watu wengi kutoka sehemu mbali…
LOWASSA aipeleka nchi Arusha, LIPUMBA atangaza nia na MEMBE asema hajui atakuwa nani…MAGAZETINI LEO MAY 30
MWANANCHI Hatimaye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu itatoa hukumu katika kesi inayowakabili mawaziri wa zamani wa Fedha, Basil Mramba na wa Nishati na Madini, Daniel Yona pamoja na Katibu Mkuu…
PICHAZ kutoka ndani ya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha, anaesubiriwa hapa ni Mbunge Edward Lowassa
Niko karibu na wewe mtu wa nguvu.. Headlines nyingi kwenye vyombo vya habari ni ishu ya Uchaguzi Mkuu TZ 2015, wagombea nao kila mmoja anachukua headlines zake! Niko ndani ya…
Magazeti ya Tanzania na stori zake kubwakubwa leo May 30 2015
Kila siku kwenye millardayo.com huwa nakuwekea magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews kwenye kurasa za mwanzo ili angalau uzipate zote stori kubwa za siku na kisha kwenye…
Ni headlines za Diamond Platnumz tena… kaitoa hii video mpya aliyofanya na Mr. Flavour
Hii ni kolabo nyingine kutoka kwa Mtanzania Diamond Platnumz ambae zamu hii kamshirikisha mkali kutoka Nigeria Mr.Flavour kwenye single inaitwa Nana kupitia kwenye mikono ya director GodFather. Diamond Platnumz ametumia…
Hii ni kwa ajili yako mtu wangu uliyemaliza chuo na unatafuta ajira.
Ninao watu wangu ambao wamefanikiwa kumaliza vyuo tena vya elimu ya juu lakini wengi wamekua wakifikiria zaidi kuajiriwa baada ya kumaliza elimu yao hiyo ya juu. Good news ambayo nakupatia…