#TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 9 ya Tanzania Septemba1, 2015
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
Ujenzi wa Uwanja mpya wa Chelsea utafanana kitu hiki na Uwanja wa Taifa Dar Es Salaam (Pichaz)
Klabu ya Chelsea ya Uingereza imeonyesha muonekano wa uwanja wao mpya ambao hadi mwaka 2020 inaripotiwa ujenzi wa uwanja huo utakuwa umekamilika. Bado mashauriano yanaendelea kuhusiana na wakazi wa eneo…
Pichaz za baadhi ya mastaa waliowasili katika timu zao za taifa, Ronaldo, Depay na Sanchez wapo pia..
Wiki hii ni wiki ya mechi za kimataifa kwa upande wa bara la Ulaya wao timu zao za taifa zitakuwa na mechi za kuwania kufuzu kucheza michuano ya Euro2016, ila…
Karibu uitazame hii mpya ‘High Notes’ kutoka kwa Banky W. (Video).
Baada ya kimya kingi msanii wa R&B kutoka Nigeria Banky W amerudi kuziandika headlines kwenye kurasa za burudani na video ya wimbo wake mpya 'High Notes'. Wimbo umeandikwa na kusimamiwa na…
Slaa kuzungumza leo, Magufuli aahidi ajira kwa 40%, Lowassa asema ‘msiogope’ +Sheria ya Mitandao leo. (Audio).
Tarehe 1 September 2015 imeanza na uchambuzi wa magazeti @CloudsFM, kazi yangu ni kukusogezea zile zote zilizoweka headlines kwenye magazeti baadhi zikiwa... John Magufuli ahaidi ajira kwa 40% kupitia sekta…
Mtoto wa mchezaji bora wa dunia kutokea Brazil amejiunga na klabu hii ya Ureno….
Mtoto wa mchezaji wa zamani wa FC Barcelona na timu ya taifa ya Brazil Rivaldinho Rivaldo ambaye anafuata nyayo za baba yake Rivaldo katika soka, amesajiliwa na klabu ya Boavista…
Tyga na Kylie Jenner mapenzi motomoto ndani ya ‘Stimulated’ – (Video).
Tyga na Kylie Jenner wamekuwa wakiweka headlines nyingi sana toka siku waliopigwa picha wako pamoja... maneno mengi yalisemwa juu ya Tyga kutembea na msichana huyo lakini hayo yote haijawazuia wawili…
Sababu ya kushindwa kusajiliwa De Gea Real Madrid na maamuzi ya klabu hiyo kwa FIFA viko hapa…
Golikipa wa kimataifa wa Hispania ambaye anaichezea klabu ya Manchester United David De Gea, alikuwa akihusishwa kujiunga na klabu ya Real Madrid ya Hispania, hivyo kila kitu kilikuwa kimesha kuwa sawa ikiwemo…
Magazeti 16 ya Tanzania Sept 1 2015, habari kubwa za udaku, michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumanne Sept 1,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku , Michezo na Hardnews, zote…
Video yenye maneno yote ya Zitto Kabwe siku ya kwanza ya kampeni za ACT Wazalendo
Kiongozi wa chama kipya cha kisiasa Tanzania ACT WAZALENDO Zitto Kabwe alikua miongoni mwa waliosimama kuzungumza kwenye siku ya kwanza ya kampeni za chama hicho Mbagala Dar es salaam ambapo…