Ulimis video ya Sauti Sol ‘shake yo bam bam’ ??!! nimeirudisha tena hapa…
Sauti Sol ni kundi la muziki kutokea Kenya ambalo limezichukua headlines nzito Tanzania na mara ya mwisho ilikua ni kupitia hit single ya sura yako lakini time hii wametuletea video…
Kutana na video ya Mwanamke anayetaka kuwa Rais wa Tanzania 2015.
Kampeni za uchaguzi mkuu wa Tanzania 2015 zimeshaanza tayari na tumewaona Wanasiasa mbalimbali wakisimama mbele ya Watanzania kutumia time yao kuwashawishi wapate zile YES za kutosha na hatimaye kuchukua nafasi…
Mwanamke mrembo akiiba mbele za watu inakuaje? jamaa walitegesha video camera
Jamaa wametegesha video camera sehemu alafu wakatafuta Mwanamke mrembo ajifanye mwizi wa kuchomolea watu mfukoni, hii imetokea Marekani lakini najua kama wangetegesha hii camera kwenye nchi kama Tanzania mpaka watu…
Video ya dakika 10 za Lowassa mbele ya Wanawake wa Dar es salaam
Ilikua ni siku ambayo mgombea Urais 2015 kupitia ruhusa ya UKAWA Edward Lowassa alipokutana na Wanawake wa Dar es salaam siku kadhaa tu kabla ya uzinduzi wa kampeni za UKAWA…
Matusi mitandaoni Tanzania mwisho ilikua jana saa tano na dk 59 usiku ! fahamu mengine ya sheria mpya hapa
Huu ndio utakua mwisho wa makosa ya kimtandao Tanzania??? sababu sheria hii imepitishwa na kuanza kutumika leo mahususi kwa wote wanaotumia vibaya mtandao. Unaambiwa mwisho wa yote ulikua jana August…
Video ya mwigizaji Jackline Wolper alivyosimama mbele ya Edward Lowassa.
Ilikua ni siku ambayo UKAWA waliamua kuitumia kuzungumza na Wanawake Dar es salaam ikiwa ni siku kadhaa kabla ya kuzindua rasmi kampenzi zao kwenye uchaguzi mkuu wa 2015, miongoni mwa…
Video Yamoto Band waliyoifanya South Africa ndio hii imetoka…
Watoto kutoka kwenye familia ya Mkubwa na Wanawe TMK walijisogeza mpaka South Africa na kufanya video yao ya kwanza na kampuni ya kimataifa ya God Father ambayo imekua ikifanya kazi…
Air Tanzania imebaki na ndege ngapi? nani kasema imekufa? Marubani wapo?!! kutana na Samwel Sitta
Ulisikia kwenye majukwaa ya kisiasa Wapinzani wakisema kwamba shirika la ndege Tanzania limekufa? sasa Waziri wa uchukuzi Samwel Sitta baada ya kuyasikia hayo amesimama kuyatoa haya mbele ya Waandishi wa…
Dr. Wilbroad Slaa mbele ya Waandishi wa habari Tanzania Sept 1.
Ni kweli katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Dr. Wilbroad Slaa amekua kimya toka Edward Lowassa ajiunge na CHADEMA akitokea CCM lakini August 31 2015 kituo cha…
Di Maria aeleza tatizo lililomfanya ahame Man United na kujiunga na PSG……
Kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina aliyekuwa ana kipiga katika klabu ya Manchester United kabla ya kutimkia klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa Angel Di Maria, ameeleza sababu za yeye…