#TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 8 ya Tanzania August 28, 2015
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
Baada ya kimya kingi… Adele atangaza ujio wake mpya na: ’25’!
Imepita miaka 4 toka msanii wa muziki wa Pop kutoka Uingereza Adele aachie album yoyote. Baada ya album yake ya mwisho '21' ya mwaka 2011 Adele alitangaza kuwa hatotoa album…
Uzinduzi wa kampeni CHADEMA, Magufuli na ‘People’s Power’?, Slaa kuibuka kesho? Sumaye + Kipindupindu Pwani je!? (Audio).
Uchambuzi wa magazeti kupitia @CloudsFM umefanyika tayari, ninazo zile zote zinazoweka headlines kwenye magazeti leo 28 August 2015 baadhi zikiwa... Hatimaye CHADEMA waruhusiwa kutumia viwanja vya Jangwani kuzindua kampeni zake…
Magazeti 18 ya Tanzania August 28 2015, habari kubwa za udaku, michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Ijumaa Agosti 28,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews, zote ziko…
Mtu wangu wa nguvu ninayo ripoti kutoka Uturuki waliko weka kambi Taifa Stars (+Audio)
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars bado ipo nchini Uturuki inaendelea na kambi yake ya siku nane kujiandaa kabla kucheza mechi dhidi ya timu ya taifa ya Nigeria Super…
Sentensi za mgombea Urais 2015 kupitia CCM Dkt Johh Pombe Magufuli
Mgombea wa Urais kupitia chama cha Mapinduzi, Dkt John Pombe Magufuli bado anaendelea na ziara zake za Uchaguzi 2015, huko mikoani. Sasa hapa nina sentensi za mgombea huyo akiwa ana…
Stori 10 za AMPLIFAYA Agosti 27,2015 kwako uliezikosa mtu wangu nimekuwekea hapa
Amplifaya ni show inayosikika kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa kupitia Clouds FM kuanzia saa moja usiku mpaka saa tatu, ni show ambayo ina namba 10 muhimu zinazomilikiwa na habari, yani habari…
Everton wamejibu ombi la John Stones kuuzwa Chelsea.
Siku mbili baada ya mchezaji wa kimataifa wa England anayekipiga katika klabu ya Everton, John Stones, kuandika barua ya kuomba kuuzwa na klabu yake, hatimaye klabu yake imejibu maombi yake.…
Hizi ni sababu za Justice Majabvi wa Simba kukataa kuchezea taifa lake…(+Audio)
Kiungo wa kimataifa wa Zimbabwe ambaye ametua Simba msimu huu akitokea klabu ya Vicem Hai Phong F.C ya Vietnam Justice Majabvi ambayo alikuwa amemaliza mkataba wake katika klabu hiyo. Bado anaendelea…
Aunt Ezekiel, Wolper, Shamsa Ford walivyojitokeza kwenye mkutano wa ukawa August 27
2015 ni mwaka wa headlines za Uchaguzi ambapo leo Agosti 27 Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) walifanya mazungumzo na mgombea Urais kupitia UKAWA, Mhe. Edward Lowassa. Mkutano huo ulifanyika katika…