Everton wamejibu ombi la John Stones kuuzwa Chelsea.
Siku mbili baada ya mchezaji wa kimataifa wa England anayekipiga katika klabu ya Everton, John Stones, kuandika barua ya kuomba kuuzwa na klabu yake, hatimaye klabu yake imejibu maombi yake.…
Hizi ni sababu za Justice Majabvi wa Simba kukataa kuchezea taifa lake…(+Audio)
Kiungo wa kimataifa wa Zimbabwe ambaye ametua Simba msimu huu akitokea klabu ya Vicem Hai Phong F.C ya Vietnam Justice Majabvi ambayo alikuwa amemaliza mkataba wake katika klabu hiyo. Bado anaendelea…
Aunt Ezekiel, Wolper, Shamsa Ford walivyojitokeza kwenye mkutano wa ukawa August 27
2015 ni mwaka wa headlines za Uchaguzi ambapo leo Agosti 27 Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) walifanya mazungumzo na mgombea Urais kupitia UKAWA, Mhe. Edward Lowassa. Mkutano huo ulifanyika katika…
Taarifa zimenifikia za Ajali ya Moto iliyouwa watu 9 Dar es Salaam… (picha)
Tangu mwaka 2015 umeanza tumesikia stori kadhaa za Ajali ya moto ikiwemo ile ya familia yenye watu sita wakiwa wamefariki ndani ya nyumbani chanzo kilisemakana ni itilafu ya Umeme, sasa…
Lionel Messi atangazwa kuwa mchezaji bora wa Ulaya 2014/2015.(Picha&Video)
Hatua ya upangwaji makundi ya UEFA yaliambatana sambamba na kumchagua mchezaji bora wa mwaka wa Ulaya, waliyokuwa wanawania tuzo hiyo ni Lionel Messi, Cristiano Ronaldo na Luis Suarez. Lionel Messi ametangazwa…
Haya ndio makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya 2015/2016
Baada ya kuanza kwa Ligi Kuu mbalimbali barani Ulaya, August 27 ni siku ambayo yanapangwa makundi ya klabu bingwa Ulaya kwa msimu wa 2015/2016. Makundi hayo tayari yamepangwa katika droo…
Ninayo kauli ya Arsene Wenger kuhusu suala la usajili katika klabu ya Arsenal…..
Kocha wa klabu ya Arsenal ya Uingereza Arsene Wenger ambaye amekuwa akiwakwaza mashabiki wa klabu hiyo kwa tabia yake ya kutopenda kutoa fedha nyingi ili apate mchezaji wa kiwango cha…
Kundi maarufu la muziki; ‘One Direction’ kutengana…?! Ukweli huu hapa.
Niall Horan, Liam Payne, Harry Styles na Louis Tomlinson pamoja wanaunda kundi maarfu la muziki 'One Direction'. One Direction ni kundi kutoka Uingereza ambao kwa pamoja wamekuwa wakifanya muziki kwa…
Wabunge wa upinzani Zimbabwe hawakumuacha Rais MUGABE hivi hivi…
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kuzomewa na wabunge wa vyama vya upinzani wakati akilihutubia Taifa akiwa bungeni. Wabunge wa upinzani wa nchi hiyo…
Haya mengine kuhusu hatma ya Oscar Pistorius kuachiwa gerezani..
Kamati itakayoamua ikiwa mwanariadha wa Afrika Kusini, Oscar Pistorius ataachiwa kutoka gerezani, inatarajiwa kukutana tarehe 18 mwezi ujao. Mwanariadha huyo alizuia kuachiliwa siku ya Ijumaa wiki iliyopita kama ilivyokuwa imetarajiwa. Waziri…