Manchester United haifungiki.
Ukiwa umepita mwaka mmoja tangu Manchester United ilipoanza kuwa chini ya kocha Mdachi Louis Van Gaal dalili za kocha huyo kuanza kuielekea njia ya mafanikio zimeanza kuonekana baada ya timu…
Baada ya Pedro Chelsea yamsajili nyota huyu kutoka Brazil
Klabu ya Chelsea ya Uingereza ambayo hadi hivi sasa bado imewekeza nguvu nyingi za kusajili ili kuboresha kikosi chake na kulinda ubingwa wa Ligi Kuu Uingereza ambao wenyewe ndio Mabingwa…
Hukumu ya waliompasua mwenzao fuvu,mke auawa ofisa za BAKWATA na SUMAYE rasmi UKAWA…#StoriKubwa
MWANANCHI Miezi kadhaa baada ya treni ya kubeba abiria jijini Dar es salaam kusitisha safari zake kutokana na ubovu, imeelezwa kuwa hali hiyo inatokana na uchakavu wa injini. Mkuu wa…
Tayari ninazo #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 7 ya Tanzania August 23, 2015
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita,…
Hizi ndio stori kwenye kurasa za mbele na za nyuma Magazeti ya Tanzania August 23 2015..
Jumapili August 23 2015 nachukua time hii kukuunganisha tena na stori kwenye Magazeti ya Tanzania, stori kubwa kwenye Hardnews, Dini na Michezo unaweza kuzipitia hapa kwenye kurasa za mbele na…
Haikuwa rahisi kumpata mshindi wa TMT na sasa imefikia mwisho
August 22 imetoa jibu kamili la Tanzania Movie Talent (TMT) na zawadi ya million hamsini kwa mshindi wake kituambacho kilikuwa ni kidendawili kikubwa kwa wafuatiliaji wa TMT na wapigakura…
Ninayo Top 10 ya rekodi za ada kubwa za usajili wa wachezaji kwa muda wote.
Kila mwishoni mwa msimu wa Ligi mbalimbali duniani vilabu husika huwa na utamaduni wa kuanza kufuatilia wachezaji sahii watakao ongeza nguvu katika vilabu vyao na namna ambavyo watawapata. Siku hizi…
Picha 19 za matukio mbalimbali yaliotokea Uwanja wa Taifa katika mechi kati ya Yanga Vs Azam FC.
Mtu wangu wa nguvu nimekusogezea picha za matukio mbalimbali yaliotokea ndani ya Uwanja na nje ya Uwanja wakati mabingwa wapya wa ngao ya hisani Yanga wakishangilia ushindi walioupata dhidi ya…
Tayari ninayo matokeo ya Ngao ya Hisani Yanga Vs Azam FC (Picha)
Mpambano uliokuwa unasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka Tanzania kati ya klabu ya Yanga dhidi ya Azam FC,huu ni mchezo wa ngao ya hisani umechezwa siku ya Jumamosi ya…
Kwa gharama kidogo kabisa unaweza kujipatia nyumba yako poa kabisa iliyojengwa kwa kontena.. (Pichaz)
Ukizungumzia ujenzi wa nyumba za kuishi watu wengi wanaanza na kufikiria kuhusu mafundi, cement, mchanga na vifaa vingine… lakini upo ujenzi mwingine ambao mpaka unakamilika kabisa unaweza usihitaji chochote kati…