Picha za hali ilivyo Uwanja wa Taifa Yanga Vs Azam FC, vikosi vya timu zote mbili
August 22 ni siku ambayo unapigwa mchezo wa ngao ya hisani mechi ambayo inazikutanisha timu za Yanga ambaye ni bingwa wa Ligi Kuu na mshindi wa nafasi ya pili Azam…
Dakika 15 za Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye alivyotangaza kujiunga UKAWA.. (+Audio)
Stori za Siasa na uzito wake, zinatufikia mpya kila siku na kila mpya inayonifikia na mimi nakusogezea... hii imenifikia dakika chache zilizopita kutoka Bahari Beach Dar es Salaam, Ukumbi uleule…
Hii ni top 10 ya nyumba za kifahari zaidi zinazomilikiwa na mastaa wa soka
Wachezaji mpira wa miguu ni watu ambao wamekuwa wakimiliki fedha nyingi kutokana na kulipwa mishahara mikubwa kwa wiki, ni kitu cha kawaida kwa mchezaji mpira kulipwa pound 100,000/= kwa wiki…
Marufuku Vikosi vya Ulinzi kwenye Kampeni? Aliyenyang’anywa Fomu za Ubunge CDM, Kampeni za CCM na UKAWA..
MTANZANIA Mgombea Ubunge wa Jimbo la Shinyanga Vijijini kwa tiketi ya CHADEMA, Patrobas Katambi amevamiwa na kundi la watu wasiofahamika, wamemnyang’anywa Fomu yake ya Ubunge na kuichana. Kamanda wa Polisi…
Magazeti ya Tanzania Agosti 22, 2015.. Udaku, michezo na hardnews !
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumamosi Agosti 22,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews, zote ziko…
Baada ya kumkosa Pedro taarifa hizi ni pigo tena kwa Manchester United
Klabu ya Manchester United ambayo msimu huu imedhamiria kupata saini za wachezaji mahiri watakaoweza kurejesha heshima ya kikosi chao kwani toka aondoke Sir Alex Ferguson, klabu hiyo imekuwa na wakati mgumu…
Muonekano tofauti wa mavazi kwa waliorudisha fomu ya Urais (Picha)
Katika harakati za kuelekea uchaguzi mkuu utaofanyika Oktoba 25 siku ambayo kila mtanzania aliyekuwa na umri wa kuanzia mika 18 na kuendelea itakuwa ni siku yake muhimu ya…
Kauli ya Louis van Gaal kwa kiongozi anayelaumiwa kumkosa Pedro ipo hapa
Klabu ya Manchester United ya Uingereza bado haiamini kilichotokea kwa kocha wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho kumbadili uelekeo Pedro Rodriguez kutokea FC Barcelona kwenda katika klabu ya Chelsea na…
Ulikua mbali na Radio? stori zote 10 za AMPLIFAYA Agosti 21, 2015 ziko hapa
Amplifaya ni show ambayo inasikika kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa moja usiku on Clouds FM ikiwa na mkusanyiko wa stori kumi kubwa za siku kutoka kwenye siasa, michezo, muziki,…
Alichokisema Papa Niang kipo hapa kuhusu Simba na Yanga pia (+Audio)
August 21 mshambuliaji kutoka Senegal Papa Niang aliwasili katika klabu ya Simba akitokea kwao Senegal, Papa anawasili Simba ikiwa ni siku ya pili toka utangazwe ujio wake katika klabu ya…