AyoTV: Maneno ya Irene Uwoya kwa Wasanii walioshindwa Ubunge 2015.
Irene Uwoya ni mwigizaji kutoka bongomovie Tanzania na amekua miongoni mwa Wanawake watano wanaotajwa kuwa na uwezo mkubwa wa kuigiza Tanzania, mwaka huu 2015 ameingia kwa mara ya kwanza kwenye…
Lowassa na Magufuli kimyakimya? NEC matokeo ni ndani ya siku 3!? Nkurunziza aapishwa!? (Audio)
Ni ijumaa nyingine na uchambuzi wa magazeti @CloudsFM umefanyika, ninazo zile zote zilizotawala kwenye vichwa vya habari na kuguswa na Uchambuzi wa Redioni. Hofu imetanda kwa watumiaji wa magari na…
Kwa leo hii nyumba imenivutia! jamaa anatuambia nyumba sio lazima vitu vingi
Ni nyumba simple ukiitazama kuanzia vilivyoko ndani, ni vichache na ambavyo kwangu vimenivutia sana... jamaa wametuonyesha kwamba Sebule nzuri sio lazima iliyojaa vitu vingi au picha nyingi na ukuta wenye…
Magazeti ya Tanzania Agosti 21, 2015.. Udaku, michezo na hardnews !
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Ijumaa Agosti 21,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews, zote ziko…
Hili ndio Jumba la kifahari la Raheem Sterling analoliuza (Picha 20)
Aliyekuwa winga mshambuliaji wa klabu ya Liverpool Raheem Sterling ambaye kwa hivi sasa anaitumikia klabu ya Manchester City baada ya kujiunga nayo msimu huu akitokea Liverpool kwa ada ya pound…
Good news:Diamond aingia studio kurekodi na staa wa Marekani
Tanzania inaendelea kujichukulia headline baada headlines tuliona Coke Studio Africa iliwakutanisha Ali Kiba na staa wa Marekani Ne-YO Nairobi kwenye kuandaa single mpya. Sasa good news ninayotaka kukusogezea ni kwamba…
Bongo movie wazindua hii kampeni….
Leo Agosti 20 wasanii kutoka kwenye tasnia ya filamu nchini, Steve Nyerere, Wema Sepetu, Batuli, Snura, Wastara na wengineo wamezindua kampeni mpya iitwayo Mama ongea na Mwanao. Kwa mujibu wa…
Stori 10 za AMPLIFAYA Agosti 20, 2015 kwako uliezikosa mtu wangu nimekuwekea hapa
Amplifaya ni show ambayo inasikika kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa moja usiku on Clouds FM ikiwa na mkusanyiko wa stori kumi kubwa za siku kutoka kwenye siasa, michezo, muziki,…
Picha walivyotambulishwa mgombea urais na mgombea mwenza wa chama cha ACT Wazalendo
Najua nina watu wangu wanaopenda stori za siasa sasa stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutoka kwenye Chama cha ACT-Wazelendo ambacho leo kimepitisha majina mawili , Anna Elisha na Mussa Yusuph…
Hii ndio sababu iliyoifanya Taifa Stars kufuta mpango wa kwenda Oman
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars usiku wa August 22 ilikuwa iende Oman kucheza mechi moja ya kirafiki na timu ya taifa ya nchi hiyo kabla ya kwenda Instabul…