50 Cent karudi na ngoma mpya, kama ilikupita itazame hapa mtu wangu: “9 Shots” (Video)
50 Cent amerudi kuziandika headlines zake kwenye kurasa za burudani, baada ya headlines nyingi za yeye na issue za mali na Mahakama 50 kaamua atupooze kidogo. Siku chache zilizopita 50…
#TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 10 ya Tanzania August 18, 2015
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
Mapokezi ya UKAWA Zanzibar.. Sumaye na Magufuli? ACT watoswa Urais? Mbunge anayekidai Chama? (Audio)
Nimefanikiwa kuzipata stori kubwa ziliochambuliwa kutoka Magazetini August 18 2015, hii ilikuwa On Air kwenye show ya #PowerBreakfast @CloudsFM, kwenye stori kubwa kubwa ziko na hizi. Mgombea Urais aliyependekezwa na kuchukuliwa…
Magazeti ya Tanzania Agosti 18, 2015.. Udaku, michezo na hardnews !
Good morning mtu wangu.. Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumanne Agosti 18,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo…
Jerry Muro katoa sababu za kushindwa katika kura za maoni ya ubunge CCM
Jina la Jerry Muro sio geni masikioni mwa walio wengi kwani aliwahi kufanya kazi ya uandishi wa habari za uchunguzi kwa muda mrefu na zilizofanya jina lake kukua na watu…
Haya ni matokeo ya Liverpool vs AFC Bournemouth (picha&video)
Klabu ya Liverpool imeshuka dimbani August 17 kukipiga na klabu ya AFC Bournemouth iliyopanda Ligi Kuu Uingereza msimu huu, huu ukiwa ni mchezo wa pili kwa kila timu, Liverpool imeendeleza…
Haya ndio majibu ya Diamond Platnumz kuhusu ishu ya mtoto kupimwa DNA…
Kumekuwa na stori ambayo imechukua sana headlines kuanzia mitandaoni mpaka kwenye Magazeti inayomhusu Diamond, Zari na mtoto wao. Diamond amepatikana na kutolea majibu ishu hiyo, barua ya kudai mtoto wake akapimwe…
Mapokezi ya Edward Lowassa Zanzibar leo kwenye hizi picha 16
Safari ya Mgombea Urais wa UKAWA, Edward Lowassa kusaka Wadhamini kwenye Mikoa mbalimbali Tanzania imekamilika tayari August 17 2015, kilele cha Safari hiyo ni Visiwani Zanzibar ambapo umefanyika Mkutano eneo…
Raheem Sterling naye kaja na lebo yake RS7..anashindana na Ronaldo?..(Pichaz)
Unapozungumzia lebo ya CR7 humtambulisha rasmi mchezaji bora wa duniani Cristiano Ronaldo ambayo ndiyo humtambulisha..sasa kiungo mpya wa Manchester City naye kaamua kuingia kwenye biashara nakuanzisha lebo inayofanana na hiyo. Raheem…
Maneno ya Peter Msechu baada ya malalamiko kwenye shindano la Kinondoni Talent Search…#Uheard (Audio)
Katika shindano la Kinondoni Talent Search, Peter Msechu ambaye alikua Jaji wa shindano hilo amesema si kweli ametengeneza uadui kati yake na washiriki wa shindano hilo. Amesema anafahamu pressure ya…