Nonini kufanya collabo na Chege, ukimya wa MC Koba, Madee ana mapya?…255 (Audio)
Kwenye zile stori za 255 leo stori ya kwanza ni kutoka kwa Nonini ambaye ameamua kufanya collabo na Chege, jamaa ameamua kumgharamia Chege kila kitu kwa ajili ya kwenda kufanya collabo…
HekaHeka ya safari ya mwigizaji Tausi kabla ya kuingia Bongo Movie…(Audio)
HekaHeka ya leo inatoka kwa mwigizaji wa Bongo Movie Tausi, anazungumzia changamoto alizozipata wakati anaanza fani yake...anasema awali kabla ya kufikiria kuigiza alikua anapenda kuwa mcheza shoo katika bendi za…
Binti wa miaka 11 na mtoto wake!, sababu ya ujauzito wake ni hii hapa…
Paraguay ni moja ya nchi zinazopinga utoaji wa ujauzito na mwanamke anaruhusiwa kufanya hivyo pale tu afya yake inapokua hatarini. Taarifa ya binti wa miaka 11 nchini humo kujifungua mtoto…
Hatimaye CNN imeiomba Kenya msamaha (+Video)
Siku chache kabla Rais Obama hajatua Kenya kulikuwa na Ripoti ambayo Kituo cha CNN waliirusha, kwenye Ripoti hiyo waliielezea Kenya kama moja ya nchi ambazo ziko kwenye 'Ukanda wa Ugaidi'.…
Meek Mill kaona bora yaishe, kaamua kuandika haya kwenye ukurasa wake @Instagram!
Headlines za Meek Mill na Drake zimeanza kuchukua sura mpya sasa, baada ya ngoma mbili tatu za kurushiana maneno hatimaye Meek Mill kaona bora mambo yaishe! Meek Mill aliweka picha…
Nikki wa pili anatamani kuyaona haya kwa wasanii wa Bongo
Kila mmoja ana ndoto ya baadae juu ya maisha sasa basi hapa ninayo stori ya msanii kutoka Weusi Nikki wa pili ambaye yeye ndoto yake ni kuhakikisha wasanii wenzake wanapata…
Ukuaji uchumi washuka, IGP apinga maandamano, LIPUMBA atua na kauli nzito..#MAGAZETINI AUGUST14
MWANANCHI Kasi ya ukuaji wa uchumi nchini imeshuka kwa asilimia 2.1 katika robo ya kwanza ya mwaka huu. Hali hiyo inaelezwa kuchangiwa na kushuka kwa uzalishaji katika sekta za madini,…
Stori zote kubwa nilizozinasa kutoka ndani ya Magazeti 9 ya Tanzania leo August14
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter @millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
Hii ndio safari ndefu zaidi ya ndege Duniani, unasafiri kwa saa 17 moja kwa moja angani !!
Kwa sasa Ripoti za Duniani zinaonesha safari ndefu zaidi za ndege ni ya kutoka Dallas Marekani mpaka Sidney Australia ambayo ni karibia saa 17 angani, iko ya Johannesburg South Africa…
Hii ni nyingine mpya kutoka kwa Robin Thicke feat Nicki Minaj ‘Back Together’ – (Video)
Robin Thicke msanii wa RnB kutoka Marekani anaziandika headlines za leo kwenye kurasa za burudani, baada ya kuachia ngoma yake ya 'Morning Sun' staa huyu wa muziki Marekani amerudi tena kutupa…