Ridhiwani Kikwete kaiweka hii video ya Lowassa na kuandika haya maneno.
Hii ni post ya Ridhiwani Kikwete kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter, aliiweka hii video ya Edward Lowassa na kuandika 'Raha ya mja kunena, kwa muungwana ni…
Louis van Gaal bado ana msimamo huu kuhusu David de Gea
Louis van Gaal ni kocha wa Manchester United anafahamika kwa kuwa miongoni mwa makocha wanaosimamia maamuzi yao, Van Gaal huwa akiamua kitu ni ngumu kubadili maamuzi akisema ndio ni ndio…
Dar es salaam: muonekano wa sasa wa vituo vya mabasi yaendayo haraka (video)
Ujenzi ulianza zaidi ya miaka miwili iliyopita kujenga barabara za mabasi yaendayo haraka Dar es salaam pamoja na vituo vyake ambapo barabara hiyo itatumika na mabasi hayo tu, tazama video…
Idadi ya watu waliofariki na mali uharibifu kwenye mlipuko China… (Pichaz)
Taarifa za mlipuko mkubwa kutokea katika mji wa bandari ya Tianjin,China jana usiku zimeingia kwenye headilines. Vyombo vya habari vya China vimeripoti kuwa mpaka sasa watu 50 wamepoteza maisha wakiwemo…
August 13 ni Birthday ya Rapper Fid Q, tusherehekee nae kwa pamoja kwenye kionjo cha mdundo mpya- ‘Kemosabe’ (Audio)
Imezoeleka kwa mashabiki wengi wa Fid Q kwamba kila mwaka anaposherehekea siku yake ya kuzaliwa huwa anaachia ngoma mpya kama zawadi pia kwa mashabiki, imekua tofauti mwaka huu ambao Fid Q amesema yeye na 'Cheusi…
Vitu saba vya kufahamu kutoka Simba Sports Club Leo
Klabu ya Simba August 13 wamezungumza na waandishi wa habari katika Press Conference ambayo waliiandaa wao wenyewe, Simba imezungumzia mchezo watakaocheza siku ya Jumamosi ya August 15 Uwanja wa Taifa…
XXL ya Clouds FM yawapatanisha Q Chillah na TID, ‘no beef’ tena… Full interview iko hapa.. (Audio)
Inawezekana hukua unaamini kuwa kuna siku jamaa hawa wawili ambao walikua wakiwakilisha 'Top Band', Q Chief na TID wasingeweza kukaa pamoja na kumaliza tofauti zao na hii imetokana na kuingia kwenye headlines sehemu…
Kwenye hii jeans unaiweka simu yako poa kabisa, inachaji huku unaendelea na mambo mengine (Pichaz)
Kumegunduliwa powerbank ambazo zinaokoa sana watumiaji wa smartphone, lakini ubunifu haujaishia hapo… sasahivi zimekuja mpaka jeans, ndio…. Unavaa suruali yako fresh kabisa alafu unatundika na smartphone yako na betri yake…
Ni kweli Mchiz Mox kamdhulumu hela Mbunifu wa mavazi? amesikika kwenye UhearD …(Audio)
Mbunifu wa mavazi Katona amezungumza na Soudy Brown na kuseme alikua ameandaa shoo pale Regency Hotel na kuamua kumtumia Mchiz Mox ili aweze kufanya shoo katika onyesho lake la mavazi..…
Zilizonifikia: Msafara wa Edward Lowassa wazuiwa.
Mchana wa August 13 2015 zimenifikia taarifa kutoka mkoa wa Kilimanjaro ambapo msafara wa mgombea Urais wa Tanzania kupitia UKAWA 2015 Edward Lowassa, umezuiwa na Polisi. Kwa mujibu wa gazeti…