Full video ya mkataba mpya wa Bilioni 2 Ligi kuu Tanzania bara.
Kazi yangu ni kuzisogeza zote muhimu karibu yako... hii ni full video ya Press Conference iliyofanyika Dar es salaam ikiwahusisha TFF na Vodacom kuhusu kuongeza mkataba wa kuidhamini ligi kuu…
Fid Q na siku yake ya kuzaliwa, BASATA na show ya Shilole Marekani, collabo ya Ali Kiba na Ne-yo…255 (Audio)
Kila August 13 Fid Q anasherehekea siku yake ya kuzaliwa na husherehekea kwa kuachia ngoma mpya..amesema safari hii ameamua kusherehekea siku yake kitofauti badala ya kuachia ngoma mpya ameamua kutoa…
Klabu ya Simba ilivyokabidhi zawadi za mipira kwa Wanafunzi Shule za Msingi… (Pichaz)
Klabu ya soka ya Simba August 13 imekamilisha ahadi yake ya kugawa mipira kwa shule za msingi, mwisho wa wiki iliyopita Simba ilipanga ratiba ya kutembelea shule tatu za msingi.…
Polisi wa Brazil walivyomkimbiza mtuhumiwa kwa Helikopta na kummiminia risasi kwa juu.
Brazil ipo kwenye list ya nchi ambazo huwa zina matukio makubwa ya mara kwa mara ya kihalifu, ukiachia mbali ishu za dawa za kulevya, kuna uhalifu mwingine ambao huwa unafanyika…
Mwendelezo wa HekaHeka ya mume kumfumania mke wake na mtu mwingine…(Audio)
Leo tunaendelea na ile HekaHeka ya jana ambayo baba mmoja alikua akilalamika kuhusu mke wake kuwa na uhusiano na mwanaume mwingine ambaye ni wa asili ya Kihindi na kuitelekeza familia…
Alikiba na Ne-Yo kwenye ngoma moja!? Headlines zina haya mapya…
Hii stori nimeinasa kutoka kwenye post ya Instagram ya ROCKSTAR4000 inayosimamia kazi za msanii wa Bongo Flava Alikiba ambao wameweka post inayosema Alikiba kufanya collabo na msanii mkubwa wa RnB Marekani Ne-Yo. >>>"Exciting News:…
Utaratibu mpyampya ni huu, unapimwa uzito wewe na mizigo yako kabla ya kupanda Ndege !!
Ishu ya mizigo ya abiria kupimwa uzito kabla ya kupakiwa kwenye Ndege ni kawaida, mambo yamegeuka… Uzbekistan wanapima mpaka uzito wa abiria mtu wangu!! Shirika la Ndege la Uzbekistan limezigonga…
Kama wewe ni mtumiaji mkubwa wa Twitter basi taarifa hii ikufikie mtu wangu.
Kama wewe ni mtumiaji mzuri wa Twitter basi taarifa hii kutoka kwao itakuwa inakuhusu moja kwa moja mtu wangu. Tarehe 12 August kampuni ya Twitter imetangaza mabadiliko ya matumizi ya…
Balotelli alivyosherehekea Birthday yake na wachezaji wenzake…(Pichaz & Video)
Umaarufu wa mshambuliaji wa Liverpool, Mario Balotelli umesababishwa na vituko vyake pamoja na uwezo wake wa kumiliki mpira kwa kiasi kikubwa. Jana alisherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka…
Kumbe hawa ndio mabeki wanaomsumbua zaidi Neymar akiwa dimbani..
Huku akiwa anajulikana kwa kuwa wembe mbele ya mabeki tofauti Barani Ulaya, staa wa Klabu ya Barcelona Mbrazil Neymar Jr. ameyataja majina ya mabeki wagumu zaidi ambao huwa akikutana nao…