Good news kwenye soka Ligi Kuu Tanzania bara ni hii iliyothibitishwa na Vodacom kwa miaka mitatu… (+Audio)
Vodacom wamekuwa wakidhamini wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa zaidi ya miaka nane, ninayo good news tena kutoka kwao leo !! Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF August 12…
Wafungwa wawili wametoroka Gerezani Marekani, balaa wakabaki nalo wenzao.. !!
Nimekutana na stori kutoka Marekani New York ambako wafungwa wawili waliohukumiwa kifungo cha maisha wametoroka jela siku chache zilizopita huku wakiwaacha AskariMagereza kwenye mshangao jinsi ambavyo Wafungwa hao wametoroka. Stori inasogea…
Tukiwa tunasubiri video kutoka kwa Jux, hizi ni sekunde 15 za wimbo “Looking For You”. (Video)
Ni siku moja tu imepita toka msaani wa Bongo flava Jux aachie wimbo wake mpya uitwao Looking For You ambao ndani yake ameshirikishwa staa wa hip hop Tanzania Joh Makini. Bado…
Maneno ya Diamond kuhusu collabo na Ali Kiba, Jux na Video zake MTV, Shilole na ziara ya Marekani?…255 (Audio)
Shilole amepost picha Instagram akiwa na Ommy Dimpoz wanajiandaa kwa ajili ya show Marekani... Shilole alifungiwa na BASATA kujihusisha na shughuli yoyote ya muziki, ikabidi 255 imtafute kujua mambo yakoje…
HekaHeka ya mwanaume kumfumania mke wake na mtu mwingine iko hapa…(Audio)
HekaHeka ya leo inamuhusu kaka mmoja ambaye anasimulia kuhusu kumfumania mke wake wa ndoa na mwanaume mwingine ambaye ana asili ya Kihindi. Anasema pamoja na kushuhudia kuwa mke wake ana…
Kibao kilivyowageukia Polisi waliovamia na kuwakamata wapenzi Hotelini India…
Polisi waliendesha msako kwenye Hoteli mbalimbali India kama wiki moja hivi iliyopita, kisa cha kuendesha msako huo walidai kwamba wenyeji wa eneo la Mumbai walilalamika kwamba kuna mambo maovu yanafanyika…
Moja ya Comment ya Kiswahili iliyonichekesha kwenye post ya Kim Kardashian inayowahusisha Diamond na Zari..
Unajua siku hizi mitandao imekua ni sehemu kubwa ya maisha yetu kwa wale ambao tumekua tukiwafatilia Mastaa mbalimbali wa dunia kujua wanafanyaje au nini wanachokifanya kwa muda husika. Siku chache…
Wanaume walivyorekodiwa video bila kujijua wakipewa lift kwenye gari kali na msichana wasiemfahamu..
Kikawaida ni kwamba sio rahisi upande kwenye gari la mtu usiyemfahamu sababu tu amekuita akupe lift ila hii video imeonyesha utofauti manake huyu Mwanamke alichukua gari kali alafu badae akachukua…
Afya ya Mbowe, Dk.Slaa aikana akaunti ya Twitter, Kafulila na Polisi…#MAGAZETINI AUGUST 12
MWANANCHI Siku moja baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe kuugua ghafla akiwa kwenye maandaamano na kuwahishwa hospitali ya Taifa Muhimbili, imebainika kuwa hali hiyo…
Inawezekana Davido katishiwa maisha na kuamua kujifunza kujilinda kwa bastola?… (Pichaz + Video)
Superstaa wa muziki Nigeria Davido siku chache zilizopita alikuwa jijini Atlanta kwa ajili ya mafunzo madogo ya matumizi ya bunduki maarufu kama Gun Shooting Range lessons. Taarifa zinazosambaa mitandaoni wakati…