pichaz za viwanja 10 vya ndege duniani vilivyopewa tuzo ya Ubora.
Wanasema hivi ni viwanja bora vya ndege na vinavyovutia zaidi kwa mujibu wa tuzo za Viwanja vya ndege vya dunia zilizotolewa Barcelona Hispania zikishindaniwa na viwanja 410 kote duniani. Tuzo…
Mambo matatu kuhusu Mtoto aliebaki na risasi kichwani baada ya shambulio Mombasa
Ni mtoto Satrin Osinya ambae mama yake mzazi aliuwawa kwenye shambulio lililofanywa kanisani huko Mombasa Kenya ambapo watu waliokua na silaha walishambulia kwenye ibada ikabidi mama amkinge mtoto, ikisemekana risasi…
Maongezi ya Chris Brown na girlfriend wake kutoka jela.
Ukubwa wa jina lake pamoja na matukio yanayomuandama ndio unamfanya afatiliwe kwa karibu na kutengeneza stori kwa kila anachokifanya hata kama ni kitu cha kawaida. Stori ya sasa ya Chris…
Picha 6 za utengenezwaji video mpya ya Ay ‘Asante’ @AyTanzania
Kutana na Ay ambae ni staa wa longtime bongoflevani alieianza safari rasmi ya bongofleva mwaka 1998 akitokea Morogoro na kuingia Dar es salaam kwa ajili ya kutafuta maisha aliyoyataka. Hizi…
Huyu ndio mwanaume aliacha ‘uume’ wake uliwe na Fisi kwa makusudi.
Kuna stori nyingine kwenye hii dunia huwa zinaonekana kama za kufikirika tu na pengine unaweza kushawishika kuona sio za kweli ila ukweli ni kwamba imetokea kabisa kwenye maisha hayahaya. Baada…
Taarifa za sheikh maarufu kuuwawa Mombasa usiku wa April 1 2014
Ripota wa TZA kwenye mji wa Mombasa nchini Kenya Julius Kipkoich ameripoti usiku huu kwamba hali ya taharuki ipo kwenye mji huo baada kuuwawa Sheikh Abdikadir sharrif maarufu kama Makaburi.…
Eminem alitaka kuwadiss Kanye West na Lil Wyne?
Eminem ambae ni msanii wa hiphop wa miaka mingi amezungumzia kitu kipya kuhusiana na wimbo wake wa 'Talking 2 Myself' kutoka kwenye album yake ya 'Recovery' iliyotoka June 2010 Anasema…
Matokeo ya mechi za Barcelona na Manchester United April 1 2014
Kwa stori za michezo kama hizi ungana na millardayo.com kila siku mtu wangu au jiunge na mimi kwenye twitter instagram na facebook kwa jina hilohilo la @millardayo
Watanzania wanaofanana na Chidi Benz, Diamond, Ngwea, Bruno Mars na Balotelli walipojitokeza.
Presenters wa XXL ya CLOUDS FM (88.5 Morogoro) ndio wapo kwenye stage kuendesha zoezi la kumtafuta mshkaji aliefanana na staa yeyote tunaemfahamu, hii ni kutoka XXL After school bash iliyofanyika…
Stori 10 kubwa za AMPLIFAYA April 1 2014
Amplifaya ni show ambayo inasikika kupitia Clouds FM Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa moja usiku ikihusika kutoa stori zote kumi kubwa za siku za siasa, muziki, michezo, movies, maisha na…