Kama ulikuwa mbali na radio?ni time yako ya kusikiliza kilichoandikwa na Magazeti ya leo August 06.
Nafasi nyingine ninayokupatia mtu wangu wa nguvu ni kukurekodia magazeti kisha kukuwekea hapa ili kama ilitokea wakati yanasomwana na kuchambuliwa hukuwa karibu na radio basi muda wowote unaweza kusikiliza hapa.…
Haya ni maswali mengine yaliyoulizwa kwenye mazungumzo ya Rais Kikwete na Watanzania waishio Marekani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano Jakaya Kikwete Usiku wa Agosti 2 2014,alikutana na waTanzania katika hoteli ya Marriot iliyopo jijini Washington DC Baada ya hotuba yake,Rais Kikwete aliruhusu maswali kutoka…
Kurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo August 06 2014
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za…
Yaliyoikuta Yanga Kagame Cup baada ya kupeleka kikosi cha Pili
Baada ya jana usiku katibu mkuu wa Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) Nicholas Musonye kutoa onyo kwa Yanga kuwasilisha majina mapya ya wachezaji wa kikosi cha…
Hii ni nyingine tena kutoka Nuh na Shilole?taarifa ikufikie kumbe wameachana.
Stori ya Nuh Mziwanda kujichora tatoo yenye jina la Shilole ilisambaa sana na wengi walikua wakijiuliza siku ikitokea wameachana itakuaje hasa upande wa Nuh ambaye ndiye aliyejichora tatoo hiyo. Maelezo…
Kama hukusikiliza Magazeti yakisomwa,hapa kuna dakika 17 za kusikiliza yaliyoandikwa August 05.
Miongoni mwa stori kubwa katika uchambuzi huu wa leo ni pamoja na lile jibu alilolijibu Rais Jakaya Kikwete kuhusu madai ya Ridhiwan kukamatwa China na dawa za kulevya,hiyo pamoja na…
Rick Ross ‘Rozay’ amekuja na hii mpya – What A Shame
Hivi sasa watu wanapunguza kumtania Rick Ross kwenye internet kuhusu unene kutokana na kufanikiwa kupunguza mwili wake kidogo. Story mpya kutoka kwa Rozay ni video mpya ya wimbo wa 'What…
Nicki Minaj ametuonjesha kipande cha video ya Anaconda, icheki hapa.
Baada ya ku-make headline na cover kali la wimbo wa Anaconda na kuteka attention ya watu wakisubili kununua. Wimbo huo ukavuja kwenye internet na watu kuupata bure na kabla ya…
Baada ya taarifa za Chris Brown kuachwa na Karrueche, haya ni majibu ya kambi ya Chris Brown.
Chris Brown alihusishwa na habari ya kuachwa na girlfriend wake Karrueche kutokana sababu za Chris kuwa busy na party sana zaidi ya kutumia muda wake kuimarisha mapenzi na kazi za…
Magazeti ya leo August 05 2014
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za…