Magazeti ya leo February 03 2014
Kila siku hapa millardayo.com huwa naweka magazeti ya siku husika, kuanzia udaku michezo na hardnews nikiamini kwamba wakati mwingine unaweza kuwa mbali na yanakopatikana au yakawa yanachelewa kukufikia asubuhi. Lengo…
Baada ya kipigo cha Barca jana, haya ndio aliyoyasema Messi
Siku moja baada ya rekodi ya kutofungwa katika uwanja wa nyumbani wa Nou Camp katika mechi 25 kuvunjwa, mwanasoka bora wa dunia wa zamani kwa mara ya nne mfululizo Lionel Messi amekielezea…
Pipi aongeza familia mpya usiku wa February 2.
Moja kati ya wasanii waliowahi kuwa nyumba ya vipaji THT Mwanadada Pipi ambaye ameshwahi kuhit na single kadhaa ikiwemo ile waliyoshirikiana na Barnaba ya Njia Panda ambayo iliwaongezea mashabiki wengi…
Yaliyosemwa na mkurugenzi wa Bayern kuhusu Toni Kroos anayewindwa na Man U.
Bayern Munich wamesisitiza hawana mpango wa kumuza kiungo wao Toni Kroos kabla ya mkataba wake kuisha mnamo mwaka 2015. CEO wa Bayern CEO Karl-Heinz Rummenigge alisema mwezi uliopita kwamba klabu…
Sababu ya kuahirishwa kwa mechi ya AS Roma vs Parma
Mchezo wa mfululizo wa ligi kuu ya Italia kati ya mahasimu AS Roma na Parma umeahirishwa baada ya dakika 8 za mchezo baada ya mvua kubwa kunyesha na kufanya kuighalishwa…
Unayataka matokeo ya Mbeya City vs Yanga leo, ya Azam je?
Kutoka uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam mechi kati ya Yanga na Mbeya City kwenye mchezo wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania, Yanga imechukua ushindi wa 1-0 dhidi ya…
Hili ndilo tamko la Wafanyabiashara na Wajariamali wa Tanzania limetolewa February 2
Jioni ya February 2 Uongozi wa Jumuiya ya wafanyabiashara Tanzania- JWT kwa niaba ya wafanyabiashara na wajasiriamali umetoa taarifa kwa wafanyabiashara wote na umma kwa ujuma kuhusu mashine za zinazotolewa…
Magazeti ya leo Jumapili February 2 2014
Kila siku hapa millardayo.com huwa naweka magazeti ya siku husika, kuanzia udaku michezo na hardnews nikiamini kwamba wakati mwingine unaweza kuwa mbali na yanakopatikana au yakawa yanachelewa kukufikia asubuhi. Lengo…
Namna Jokate alivyom’sapraiz’ Wema On Stage Arusha.
Unaweza kujikuta ukishindwa kuielewa hii hali lakini inabidi ukubaliane na ukweli halisi wa hiki kilichotokea,Jokate na Wema historia yao ilianzia kwenye shindano la kumtafuta Miss Tanzania 2006 ambapo Mshindi alikua…
Matokeo ya Simba na Jkt Oljoro yapo hapa.
Ile mechi iliyo kwenye Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara iliyokuwa inachezwa kati ya timu ya Simba na Jkt Oljoro kutoka 87.9 Arusha imekamilika leo kwenye uwanja wa Taifa Jijini…