Taarifa ya kukamatwa kwa Gavana wa Lamu, Kenya kufuatia mauaji Mpeketoni.
Polisi nchini kenya wamemtia mbaroni gavana wa jimbo la Lamu, Kenya lililokumbwa na mapigano na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 65. Polisi wanamshika Issa Timamy, kufuatia tuhuma za kuhusika…
Mpya kuhusu ndege ya Malaysia iliyopotea.
Eneo jipya la kutafuta ndege ya Malaysia iliyopotea limetangazwa na serikali ya Australia baada ya taarifa mpya za Satellite kutolewa. Kwa mujibu wa waziri mkuu Warren Truss, zoezi la utafutaji…
Kilichojiri mechi za kundi E, Ufaransa vs Ecuador – Switzerland vs Honduras
Nigeria. Michuano ya kombe la dunia imeendelea jana usiku kwa mechi za kundi E, ambapo Ufaransa walikutana na Ecuador na Switzerland ikakutana na Honduras. Ufaransa ilikamilisha mechi za makundi kwa…
Magazeti ya leo June 26 2014 Udaku, Michezo na Hardnews
Ni utaratibu wa millardayo.com kukupatia stori kubwa za Magazeti ya Tanzania kila siku kabla ya saa mbili kamili asubuhi kutoka kwenye kurasa za kila gazeti kuanzia ya Udaku, Michezo na hardnews kurasa…
Picha ya kwanza kutoka kwenye video ya mdogomdogo ya Diamond.
Hii ni picha ya kwanza kutoka kwenye video ya mdogomdogo ya Diamond..unapata picha gani juu ya hii video? Nipe comment zako hapo chini.
Picha 35 za Wanachama wa Chadema walivyopeleka barua kwa CAG na msajili wa vyama vya siasa.
Leo ni siku ya tatu tangu katibu wa Chadema mkoa wa Tabora kwa niaba ya wajumbe 78 wa baraza kuu na viongozi wengine wa mabaraza ya vijana na wanawake 4…
Miaka 10 ya Mfalme wa Rhymes na miaka 15 ya Afande Sele,sikiliza wimbo maalum aliouachia.
Afande Sele ni miongoni mwa wasanii wa Tanzania ambao wako kwenye list ya wasanii wanaotimiza miaka 15 ya muziki wao,katika miaka hii 15 Afande Sele ameamua kufanya party ambayo itakua…
Unaambiwa Linex kakimbia studio,kisa ni hiki.
Kutoka Kigoma All Stars Linex leo ameingia kwenye headline baada ya kusemekana kuwa alirekodi wimbo ambao hadi leo hajaulipia aliouimba kwa ajili ya harusi Miraji Kikwete mtoto wa Rais Jakaya…
Sikiliza Msichana mwingine aliyefanyiwa ukatili na bosi wake.
Idara ya Hekaheka bado imeendelea na matukio ambayo yamekua yakiripotiwa kila siku kuhusu unyanyasaji wa wasichana wa kazi na watoto,sasa huko Kijitonyama kuna msichana alikua ananyanyaswa na bosi wake na…
Taarifa mpya ya Luis Suarez, hii ndio adhabu atakayopata akikutwa na hatia ya kumn’gata mchezaji mwenzake.
Mchezaji wa Uruguay Luis Suarez atakabiliwa na adhabu ya kufungiwa kwa muda mrefu kucheza mechi zikiwemo za Kombe la dunia ikiwa atakutwa na hatia ya kumng'ata mchezaji mwenzake wa Italia…