Nguruwe mwenye akili, Ona alivyotoroka kuepuka kuchinjwa.
Nguruwe huyu mdogo hakuwa na nia kabisa ya kufika sokoni kwa ajili ya kuuzwa na kuchinjwa na badala yake akaamua kutumia mbinu mbadala kutoroka kutoka kwenye gari iliyokuwa inatembea. Nguruwe…
Hii noma! Mfanyabiashara tajiri wa China ashtakiwa kwa kula nyama ya Chui watatu.
Mfanyabiashara mmoja tajiri raia wa China amekutwa na hatia ya kula Chui watatu ambapo amekiri kufanya kitendo hicho. Mwanaume huyo aliyejulikana kwa jina moja la Xu kutoka Kusini Magharibi mwa…
Wiz Kid na Chris Brown waingia studio pamoja.
Inaonekana kuwa mwanamuziki kutoka nchini Nigeria yupo jikoni akitengeneza wimbo pamoja na Chris Brown kutoka nchini Marekani. Kupitia Instagram WizKid ameweka picha hii akiwa na Chris Brown na kuandika "Studio!!…
Mwigizaji Harrison Ford apata ajali akirekodi filamu.
Mcheza filamu mkongwe wa nchini Marekani Harrison Ford anapatiwa matibabu hospitalini kutokana na majeraha aliyopata wakati akirekodi filamu yake mpya inayokwenda kwa jina la Star Wars. Harrison Ford mwenye umri…
Hii hapa taarifa ya Marekani ikiituhumu Sudan kushambulia raia wake.
Marekani imeituhumu Sudan kwa kufanya mashambulio dhidi ya raia wake katika majimbo ya Kordofan kusini na Blue Nile . Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa , Samantha Power amelaani…
Baada ya miezi tisa ya kubeba mimba, mwanamke ajifungua mjusi.
Mwanamke mmoja nchini Indonesia amejifungua mjusi badala ya mtoto. Mwanamke huyo Debi Nubatonis, mwenye umri wa miaka 31, ameanza kupata vitisho kutoka kwa kundi la vijana kutokana na kitendo hicho…
Familia za waliopotea kwenye ndege ya Malaysia wapozwa, waanza kulipwa fidia.
Familia za abiria waliopotea na ndege ya Malaysia wameanza kupokea malipo ya awali ya fidia ya dola elfu 50 kila mmoja. Mpaka sasa, Familia sita kutoka Malaysia na moja ya…
Nyumba aliyojenga msanii Ney wa Mitego, anahamia leo.
Msanii Ney wa Mitego ameingia katika Headlines chache za Wasaniii waliojenga nyumba na kuhamia mwaka 2014. Ungependa stori kama hizi zisikupite na zikufikie wakati wowote? niko tayari kukutumia wakati wowote…
Kurasa za mwanzo na mwisho Magazetini leo June 13 2014
JU Ni utaratibu wa millardayo.com kukupatia stori kubwa za Magazeti ya Tanzania kila siku kabla ya saa mbili kamili asubuhi kutoka kwenye kurasa za kila gazeti kuanzia ya Udaku, Michezo na hardnews…
Full time ya Brazil vs Croatia. Matokeo na wafungaji haya hapa
Hatimaye baada ya subira ya miaka minne, wapenzi wa soka ulimwenguni kote leo wamepata ladha ya fainali za michuano ya kombe la dunia. Mchezo wa ufunguzi ulichezwa leo baina ya…