kilichotokea baada ya yule msichana aliyefungiwa ndani miaka 3 alipokutana na mama yake mzazi.
Huyu ni msicha ambaye alikuwa akifungiwa ndani kwa takribani miaka 3 huku anapokosea anapewa mateso makali ikiwemo kuchomwa na pasi pamoja na kung'atwa na muajiri wake aliyekua akiishi nae. Ijumaa…
Picha 10 za mazishi ya mzee Small June 09.
Ni msiba wa 4 mfululizo ndani ya mwezi mmoja kutoka tasnia ya filamu Tanzania,Jioni ya leo June 09 Said Ngamba au Mzee Small amezikwa na mazishi yake kuhudhuriwa na watu…
Sababu kwanini Jeniffer Lopez hatofanya onyesho kwenye ufunguzi wa kombe la dunia
Michuano ya kombe la Dunia inatarajiwa kuanza siku ya Alhamisi wiki hii nchini Brazil kwa ufunguzi wa mechi kati ya wenyeji Brazil dhidi ya Croatia, lakini kama ilivyo kawaida kabla…
Brazuka: Mademu 11 wa wachezaji watakaotikisa kwenye kombe la dunia Brazil
Siku tatu kutoka sasa, wachezaji bora duniani wataanza vita ya kugombea kombe kubwa kwenye ulimwengu wa soka - Kombe la dunia. Lakini wakati wakati kwenye World Cup tutashuhudia vipaji vya…
Kutana na jamaa kutoka Kenya aliyeamua kujifunga mnyororo kwenye mnara wa shujaa Kimathi.
Unaambiwa kuna jamaa mmoja kutoka Nairobi amesababisha baadhi ya shughuli kusimama kwa saa kadhaa kwenye barabara ya Dedan Kimathi kwa kuamua kujifunga minyororo kwenye Mnara wa shujaa huyo wa kupigania…
Hivi ndivyo ulivyokuwa usiku wa instagram Selfie Night ndani ya Club Bilicanas April 08.
Ni usiku wa kuamkia leo ambao ulikua ukihusisha wanafamilia wote wa instagram walikutana ndani ya Club Bilicanas kwa ajili ya kupiga picha pamoja zile ishu za selfie ndiyo zilikua zikihusika…
Mchekeshaji Tracy Morgan katika hali mbaya baada ya ajali.
Mchekeshaji maarufu wa nchini Marekani Tracy Morgan bado yupo katika hali mbaya kiafya kutokana na ajali mbaya ya gari aliyopata mwishoni mwa wiki. Muigizaji huyo wa vichekesho anakabiliwa na majeraha…
Kilichosemwa bungeni juu ya picha chafu zinazosambazwa mitandaoni za watu maarufu.
Sakata la kusambaa picha zisizokuwa na maadili mitandaoni zikiwemo za watu maarufu hapa nchini leo limezungumziwa tena katika bunge la Tanzania kule Dodoma ambapo katika kipindi cha maswali na majibu…
Jennifer Lopez ajitoa kufanya onyesho katika ufunguzi kombe la Dunia.
Mwanamuziki Jennifer Lopez ambaye alitakiwa kuimba wimbo maalum katika sherehe za ufunguzi wa mashindano ya mwaka huu ya kombe la dunia nchini Brazil amejitoa kufanya onyesho hilo. Kwa mujibu wa…
Baada ya kukumbwa na kashfa ya ubaguzi, Justin Bieber amrudia Mungu na kubatizwa.
Katika harakati za kujirudisha kwa jamii yake na kuomba msaada wa Mungu tangu akumbwe na kashfa ya kutoa maneno ya kibaguzi, Nyota wa muziki mwenye makazi yake nchini Marekani Justin…