Mwandishi wa vitabu Maya Angelou afariki dunia.
Mwanaharakati, mshairi na mwandishi mahiri wa vitabu duniani Maya Angelou amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86. Ikiwa ni moja katika ya sauti kubwa za kifasihi duniani, Maya alitengeneza…
Picha 9 za maandamano ya wanachama wa Simba wakipinga kutolewa kwa Wambura kwenye uchaguzi.
Wanachama wa Simba wamejikusanya makao makuu ya timu ya Simba kushinikiza kurudishwa kwa jina la Michael Wambura ambalo limetolewa kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi ujao wa klabu hiyo. Kwa pamoja wanachama…
Aina mpya ya ulipaji nauli kwenye Matatu (daladala) za Kenya
Kutoka Kenya naambiwa ndani ya siku zisizozidi 32 watumiaji wa daladala maarufu kama matatu jijini Nairobi hawatoweza kutumia huduma hiyo endapo hawatokuwa na kadi maalum ya kulipia nauli ukiwa ni…
Video 2 za mwisho marehemu Ngwea kuonekana Afrika Kusini siku 7 kabla ya kufariki.
Kila Mtanzania aliemfahamu Ngwea alishtushwa na taarifa za kifo cha Ngwea kilichotokea Johannesburg Afrika Kusini kwa sababu kilikua ni kifo cha ghafla ambapo saa kadhaa baadae nilifanikiwa kuwasili Afrika Kusini…
Baada ya Ney wa Mitego, mwingine kwenye mapenzi na Irene Uwoya ametajwa huyu
Wiki chache tangu kutoka kwa taaarifa za uhusiano wa kimapenzi kati ya Ney wa Mitego na Irene Uwoya ambazo Ney alizikataa, leo kuna nyingine ambazo pia zinamuhusu Irene Uwoya na…
Kwa hiyo Google wameamua kutengeneza magari yanayojiendesha yenyewe, tazama inavyokua mtaani
Kampuni ya Google imeanzaa kutengeneza magari yanayojiendesha yenyewe ambapo kwa miaka minne walikua wakifanyia kazi ili kufanikisha mpango wa kutengeneza magari yanayojiendesha yenyewe. Magari hayo yatakuwa na vitufe vya kusimama…
Uliwasikiliza wale wasichana wa kazi walioiba pesa za boss wao? #hekaheka
Kuna baadhi ya wafanyakazi wa kazi za nyumbani wamekua si watu wa kuwaamini moja kwa moja kutokana na baadhi ya tabia zao kutokua njema ambapo kwenye hekaheka ya leo ndio…
Kutana na jamaa aliyempa mwanae jina la Yesu ingawa kanisa limekataa
Ndiritu Njoka kwenye headlines tena wakati huu sio kukabiliana na Wanawake wanaowapiga Waume zao bali wakati huu jamaa anataka kanisa na Presibiteria ya Africa Mashariki-PCEA kumbatiza mwanae wa kiume aliempa…
Leo ni Kumbukumbu ya mwaka 1 toka Albert Mangwea afariki.
Ilikua ni mchana May 28 2013 ndipo zilipotoka taarifa ambazo kulingana na ukubwa wa jina la mangwea Tanzania hakuna aliyekua tayari kuamini kama ni kweli Mangwea kafariki dunia,zilianza taratibu za…
Magazeti ya leo May 28 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kukupatia stori kubwa za Magazeti ya Tanzania kila siku kabla ya saa mbili kamili asubuhi kutoka kwenye kurasa za kila gazeti kuanzia ya Udaku, Michezo na hardnews kurasa…