“Sina mpango na mkeo” Bondia Floyd Mayweather amchana T.I, Story kamili iko hapa.
Bondia Floyd Mayweather amemchana Rapa T.I na kusema hana mpango wa kumchukua mke wake na kwamba anashangazwa na jinsi Rapa huyo alivyoanzisha ugomvi nae kwasababu alidhani wote ni marafiki tu.…
Pichaz 30 za utengenezwaji wa video mpya ya Chege na Temba – Wauwe,Jokate nae ndani.
Ni Chege na Mheshimiwa Temba tena,baada ya rekodi lkadhaa huu ni ujio wao mwingine ambao wanategemea kuja nao baada ya muda mfupi,ni wimbo wao mpya unaoitwa Wauwe wamemshirikisha kijana kutoka…
Embwana eeh! Eti kula Panya kunaongeza Vitamin “adimu” mwilini
Mimi mwenyewe imenishangaza hii mtu wangu kwamba watanzania wameshauriwa kufuga na kula panya aina ya ndezi wakieleza kuwa nyama hiyo haina mafuta mengi, ikiwa pia na virutubisho muhimu na vilivyo…
Mbwembwe zamfanya kaka wa damu wa Kim Kardashian kutohudhuria harusi ya dada yake.
Unaweza usiamini lakini ukweli ndio huo mtu wangu, Unaambiwa kaka wa damu wa mwanadada Kim Kardashian hajahudhuria harusi ya dada yake kwa madai ya kuchoshwa na jinsi dada yake huyo…
Tazama wachezaji wa Real Madrid walivyokuwa wakirekodi wimbo wa kushangilia ubingwa
Real Madrid walibeba ubingwa wa 10 wa kihistoria wa ulaya wikiendi hii, walishangilia ubingwa kwenye mitaa ya jiji la Madrid wakiwa na mashabiki wao wapatao 80,000, lakini Cristiano Ronaldo, Bale…
Unaambiwa kura zinaanza kuhesabiwa upya leo Nchini Malawi.
Ingawa ilitoka taarifa ya Rais wa Malawi Bi.Joyce Banda kusitisha uchaguzi mpaka baada ya miezi 3,sasa kura za uchaguzi mkuu zinatarajwa kuhesabiwa upya hii leo katika maeneo ambapo imedhihirika kuwa…
Dakika 17 za kusikiliza Magazeti yakichambuliwa Redioni leo Mei 26.
Baada ya kupitia vichwa mbalimbali vya habari hii ni nafasi nyingine kupitia millardayo.com tunakupatia kwa ajili ya kusikiliza Magazeti yakisomwa na kuchambuliwa kupitia kipindi cha Power Breakfast,hapa utamsikiliza PJ akichambua…
Magazeti ya leo Jumatatu May 26 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kukupatia stori kubwa za Magazeti ya Tanzania kila siku kabla ya saa mbili kamili asubuhi kutoka kwenye kurasa za kila gazeti kuanzia ya Udaku, Michezo na hardnews kurasa…
#AyoTV Mwanamuziki Khaleed Chokoraa hakutania kumbe, kapigana kweli… tazama hapa
May 23 2014 mwanamuziki kutoka kundi la muziki wa dance Tanzania Mapacha Watatu Khaleed Chokoraa ambae ni mshindi wa tuzo za KTMA pia, alitangaza rasmi kwenye AMPLIFAYA ya CLOUDS FM…
#AyoTV sekunde za kipisi cha video mpya ya Jux aliyofanya China ‘nitasubiri’ @JuxVuitton
Alipoitoa audio ya single hii Jux aliulizwa kwenye XXL ya Clouds FM kama ni dedication kwa mpenzi wake aitwae Jackie Cliff anaedaiwa kufungwa jela nchini China kwa kosa la kupatikana…