Linex aligoma kuhama nchi kisa Bongofleva, sasa Mfinland anataka kurudi !
Linex ambae ni staa wa single mpya ya 'Onga onga' aliwahi kutangaza kupitia AMPLIFAYA ya CloudsFM pamoja na millardayo.com kwamba ameachana na mpenzi wake raia wa Finland ambae walikutana kwa…
Magazeti ya leo May 21 2014 Udaku, Michezo na Hardnews
Ni utaratibu wa millardayo.com kukupatia stori kubwa za Magazeti ya Tanzania kila siku kabla ya saa mbili kamili asubuhi kutoka kwenye kurasa za kila gazeti kuanzia ya Udaku, Michezo na hardnews kurasa…
Kilichomkasirisha Yaya Toure Manchester City
Wakala wake anasema kama club hiyo isipompa heshima Yaya Toure anaweza kuondoka wakati wowote kwa sababu hakuna mchezaji yeyote au mtu yeyote anaependa kufanya kazi kwenye ofisi ambayo haimuheshimu ndio…
Feza Kessy on AyoTV! kaongea kwa dakika 8… South Africa, mpenzi wake, mtoto na mengine ya anakoishi
Amekua ni sehemu ya Watanzania wanaomiliki headlines nje ya Tanzania lakini ndani ya Afrika baada ya kuiwakilisha nchi kwenye shindano la BIG BROTHER 2013 na kuyaanza mapenzi na staa mwenzake…
Bongo5 media group imetagaza majina yatakayowania tuzo za watu Tanzania 2014
Tarehe 29 April kama unakumbuka Bongo5 Media Group ilizindua rasmi tuzo za watu Tanzania kwa mwaka 2014 uzinduzi ambao ulienda sambamba na kuanza rasmi kwa mchakato wa kupendekeza majina yatakayoingia…
Hii ndiyo safari ya mwisho ya Muongozaji na Muigizaji Adam Kuambiana.
Mei 20 saa 9 alasiri ndiyo safari ya mwisho ya Muongozaji na Muigizaji kutoka kiwanda cha filamu Tanzania Adam Philip Kuambiana ambaye amepumzishwa kwenye makaburi ya Kinondoni,mahali ambapo pia amezikwa…
Picha 18 za kwanza za msiba wa Adam Kuambiana Leaders Kinondoni
Kwa sasa kutoka hapa Leaders ni watu mbalimbali wanatoa heshima zao za mwisho wakiwemo waigizaji mbalimbali ambao marehemu Adam Kuambiana aliwahi kufanya nao kazi na wengine ambao hawakuwahi kufanya nae…
Breaking:Wanachuo wafunga barabara zote kuu Nairobi.
Taarifa kutoka Nairobi kwa sasa nimeambiwa kuwa Wanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi wamewandamana na biashara hazifanyiki na barabara kuu zinazoingia na kutoka Nairobi zimefugwa kwa muda. Kwa sasa polisi…
Pale Mganga feki wa kienyeji alipokutana na Mwanajeshi.
Wiki iliyopita tulimaliza Hekaheka ambayo ilimuhusisha Mama ambaye alifiwa na mtoto wake kisha baadae alienda kwa Mganga akaambiwa kuwa mtoto wake hakuwa amefariki kama alivyojua yeye bali alichukuliwa kishirikina na…
Alichosema kocha mpya wa Man United kuhusu Mourinho kumuonea wivu
Masaa takribani 24 tangu alipotangazwa rasmi kuwa kocha mkuu wa klabu ya Manchester United, Louis van Gaal amefunguka na kusema mwanafunzi wake na msaidizi wake wa zamani kwenye klabu ya…