Unayataka makubwa ya leo May 19 2014 Magazetini Tanzania? yako hapa
Ni utaratibu wa millardayo.com kukupatia stori kubwa za Magazeti ya Tanzania kila siku kabla ya saa mbili kamili asubuhi kutoka kwenye kurasa za kila gazeti kuanzia ya Udaku, Michezo na hardnews kurasa…
Eti hii inaweza kuwa mbinu ya kumpiga mtu mrefu kuliko wewe akikuzingua?
Pamoja na kwamba tunakutana na vitu vingi kila mara, kuna vingine vipya ambavyo ndio kwanza vinatufikia kila siku....... hawa jamaa wachekeshaji eti wanasema hii ndio mbinu ya kumuadhibu mtu mrefu…
Mtanzania Filbert Bayi amehojiwa na CNN, pata sehemu ya alichokisema na picha ya alikoanzishia
Katika ufuatiliaji wangu wa mahojiano yanayofanywa na CNN kwa Waafrika mbalimbali katika African Voices, hii ya Bayi nayo imenifurahisha kwa jinsi alivyotumia muda mfupi aliopewa kujieleza yeye mwenyewe lakini pia…
Mafuriko sio Dar tu, yamewakuta na ndugu zetu wa Serbia, Bosnia na Austria.
Bado Dar es salaam na mikoa jirani haijasahau kilichotokea wiki chache zilizopita baada ya mvua iliyopitiliza kunyesha mfululizo kwa siku kadhaa na kusababisha vifo, majeruhi na wengine kukosa makazi kwa…
Umekutana na hizi popote? comment yako inaweza kukupa zawadi mtu wangu
Kuna uwezekano umeyaona haya mabango kwenye mtaa wako au kwenye mji wako.... comment yako tu inaweza kukufanya uitiwe zawadi... Cha kufanya ni kukisia yanaweza kuwa yanazungumzia nini? na ni wasanii…
#AyoTV Sekunde 50 za video mpya ya Shaa ikiwa inatengenezwa Manzese. @Shaa_Tz
Akiwa ni miongoni mwa wasanii wenye majina yao Tanzania na hata kwenye nchi jirani, mwimbaji Shaa atarudi tena kwenye spika zako na kwenye TV yako hivi karibuni akiwa na sound…
Baada ya kufungiwa Kenya, video mpya ya @SautiSol imepewa nafasi hapa.
Zaidi ya siku kumi zilizopita stori za kufungiwa kwa video mpya ya Sauti Sol kuonyeshwa kwenye vituo vya TV nyumbani kwao Kenya zilitoka kutokana na kudaiwa kuvunja maadili kwa kile…
Hii ni kutoka Mwanza! sports extra day 2014 ilivyochukua headlines
Mabigwa wa Sports Xtra Day 2014 mkoa wa Mwanza wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wa fainali dhidi ya NMB Mwanza, ambapo SAUT walitawazwa kuwa mabingwa mara baada…
Dakika 21 za alichokifanya Diamond kwenye MTV Road to mama Club Bilicanas Mei 16.
Hii ni party ya MTV road to Mama Awards 2014 iliyofanyika Club Bilicanas usiku wa kuamkia May 17 ambapo ndani ya party hii kulikua na watu tofauti kuanzia wanasiasa, wasanii…
Nafasi ya kutazama jinsi video mpya ya Shaa ilivyokua ikitengenezwa. @Shaa_TZ
Huu ni wimbo mwingine mpya kutoka kwa Shaa 'subira' ambao uko kwenye mahadhi kama ya mduara na haujaachiwa rasmi bado na video yake imeanza kufanywa ikiongozwa na Adam Juma kutoka…