Pichaz za Watangazaji na wanafamilia wengine wa Clouds FM wakitoa misaada Dsm.
Ni tukio ambalo limefanyika Jan 1 2014 ikiwa ni siku ya kilele cha shamrashamra za miaka 14 ya kuzaliwa kwa Clouds FM ambapo ikiwa ni radio ya watu na kutambua…
Breaking: Kuhusu bomu lililoonekana Dar es salaam
Ni taarifa ambazo zimeifikia millardayo.com saa saba kasoro mchana wa January 2 2013 kutoka Shekilango Ubungo Dar es salaam.
Hizi ndio sentensi 24 alizoandika RAY C kuhusu Jackie Cliff anaedaiwa kukamatwa na dawa za kulevya
Ni siku kadhaa zimepita toka taarifa itoke kwenye mitandao kadhaa ya nchini China kuhusu binti wa kitanzania mwenye umri wa miaka 28 akamatwe na dawa za kulevya zenye thamani ya…
Trace TV wanasema hizi ni nyimbo 5 bora duniani mwaka 2013, ya Afrika moja tu
Trace TV ni kituo cha TV cha Ufaransa maarufu kwa burudani ambapo kwa miaka kadhaa sasa hivi kimeendelea kuchukua watazamaji wapya wapenda muziki kila siku kutokana na ubora wa muziki…
Hivi ndivyo Madee alivyomzawadia gari meneja wake.
Meneja kutoka Kundi la TipTop Conection lenye maskani yake pale Manzese Tip Top Babu Tale usiku wa kuamkia tarehe 1 2014 alikua akiadhimisha siku yake ya kuzaliwa ambapo katika vitu…
Sikiliza Magazeti ya leo yakisomwa Redioni
Hizi ni dakika 16 za kusikia kilichoandikwa kwenye kurasa mbalimbali za magazeti kupitia kwenye kipindi cha Power Breakfast kwenye sehemu ya Kuperuzi na kudadisi,Sikiliza pia kupitia 88.0 Clouds FM Tabora.…
Magazeti ya leo January 02 2014
Kila siku hapa millardayo.com huwa naweka magazeti ya siku husika, kuanzia udaku michezo na hardnews nikiamini kwamba wakati mwingine unaweza kuwa mbali na yanakopatikana au yakawa yanachelewa kukufikia asubuhi. Lengo…
Namna 88.5 Dar es salaam walivyokusanyika kwenye kilele cha miaka 14 ya Clouds Fm
Leo ni ile siku ambayo ilikua ikisubiriwa kwa hamu na wakazi wa 88.5 Dar es salaam siku ya kilele cha miaka 14 ya Clouds Fm ambapo timu ya Clouds Fm…
Taarifa ya Ikulu kuhusu kifo cha Waziri wa fedha William Mgimwa.
Rais Jakaya Kikwete amepokea kwa mshtuko na huzuni kubwa taarifa za kifo cha Waziri huyu wa fedha William Mgimwa na kwamba taifa limempoteza katika kipindi ambacho linamuhitaji zaidi kutokana na…
Picha na taarifa za ajali ya basi la abiria 88.5 Morogoro.
Naambiwa basi la Taqwa na Lori ndio vimehusika kwenye hii ajali Mikumi baada ya basi kujaribu kulipita lori ambapo kwenye hii ajali watatu wamefariki ambao ni Wanawake wawili na Mwanaume…