Kuhusu Ronaldo kukosa fainali ya Copa del Rey
Stori ambayo imethibitishwa na club ya Real Madrid ni kwamba staa wao Cristiano Ronaldo hatocheza kwenye mechi ya fainali ya Copa del Rey Jumatano wiki ijayo kutokana na kujeruhiwa. Kwa…
T.I.D anatualika kwenye hii. @TIDofficialone
Mara yake ya mwisho kuonekana kwenye stage ya show kubwa Dar es salaam ilikua mwaka 2013 ndio maana tuna kila sababu ya kuungana nae Jumapili hii ya April 13 pale…
Viwango vipya vya FIFA World cup.
Bara la Ulaya sasa hivi ndio linashika nafasi tatu za juu kwenye ligi ya FIFA/Coca-cola World Cup baada ya Portugal kupanda mpaka namba tatu ikiwafata Ujerumani kwenye nafasi ya pili…
Wazungu bwana!! kwa hiyo hii ni aina nyingine ya ukumbi wa Cinema?
Ni vitu vingi huwa vinatokea kwenye hii dunia na tayari wamemiliki headlines kwa kugundua vitu vya kipekee mfano gari linalojiongoza lenyewe pamoja na mengine mengi lakini bado hawajachoka kuja na…
Matokeo Azam FC vs Ruvu shooting leo April 10 2014
Zimebaki pointi tatu tu Azam FC kuwa mabingwa wa Ligi Kuu Bara kwa mara ya kwanza, hilo halina ubishi. Azam FC wameshinda mabao 3-0 dhidi ya Ruvu Shooting katika mechi…
Walichosema Mbeya City dhidi ya tuhuma ya kuhongwa na Azam FC
Taarifa waliyoitoa inaanza kwa kusema >> Kwanza nachukua nafasi hii kuwashukuru kwa dhati wapenzi wote wa mchezo wa mpira wa miguu na wapenzi wa Mbeya City Fc popote pale walipo…
Bidhaa mpya kutoka kwa mrembo Jokate (Kidoti) @JokateM
Amekua ni binti wa Kitanzania miongoni mwa Warembo walioonyesha juhudi za kupata pesa zao kwa nguvu na jitihada zako za kihalali na ndio maana millardayo.com inamsupport.
Kuhusu mtoto aliekua amenaswa na risasi kichwani shambulio la Mombasa.
March 23 2014 lilivamiwa kanisa moja huko Mombasa Kenya watu wakiwa katikati ya ibada ambapo waliovamia walitekeleza mauaji kwa risasi huku miongoni mwa waliouwawa akiwa ni mama wa mtoto huyu…
Kuhusu huyu mchezaji wa zamani wa Arsenal kujiunga na vita ya jihad Syria
Kiungo wa zamani wa Arsenal na Real Madrid anayekipiga katika klabu ya Lokomotiv Moscow Lassana Diarra amekanusha madai kwamba ni mfuasi wa vita ya kidini nchini Syria. Wiki iliyopita iliripotiwa…
Hizi ndio video 5 marufuku kwenye TV nchini Rwanda, moja ilifanywa Tanzania
Labda tunaweza kudhani ni Tanzania tu ndio imeingia kwenye headlines za kufungia video za nyimbo kadhaa za Wasanii ila ukweli ni kwamba hata kwenye nchi zinazoizunguka Tz kama Uganda, Rwanda…