Picha ya WEUSI kwenye headlines toka jana usiku
Kwenye page za mastaa mbalimbali wa Tanzania kuanzia jana usiku kumewekwa hii picha ya Joh Makini, Nikki wa II na G Nako kutoka WEUSI ambapo watu wamekua wakitakiwa kuotea ni…
Game ya Atletico Madrid vs Barca Champions League ilikupita? video iko hapa
Atletico Madrid jana usiku walivunja mwiko wa kutoifunga klabu ya FC Barcelona katika uwanja wa nyumbani wa Vicente Calderon kwa takribani miaka minne baada ya kuifunga 1-0 katika mchezo wa…
Ulimis mechi jana? video ya magoli yote ya Bayern vs Man United iko hapa
Bayern Munich walifanikiwa kuitoa mashindanoni Manchester United katika mchezo wa hatua ya robo fainali ya michuano ya UEFA Champions League uliopigwa jana usiku Allianz Arena Ujerumani. Unataka stori kama hizi…
Magazeti ya leo April 10 2014 ya Udaku, Michezo na Hardnews
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania.
Katuni 5 za Masoud Kipanya kuhusu bunge la katiba @masoudkipanya
Kipanya ni miongoni mwa wachora katuni maarufu wa Tanzania ambapo kwenye hii post anatukutanisha na katuni kadhaa zinazohusu hili bunge la katiba linaloendelea 104.4 Dodoma.
Matokeo ya mechi za Manchester United na Barca April 9 2014
Kama unapenda stori kama hizi zisikupite inabidi uwe karibu na millardayo.com wakati wote mtu wangu, karibu kwenye familia kupitia twitter instagram na facebook kwa jina hilohilo la MillardAyo.
Matokeo ya Yanga vs Kagera Sugar haya hapa pamoja kilichotokea kwenye mechi ya Azam vs Ruvu
Mabingwa wa watetezi wa ligi kuu ya Tanzania bara Yanga ya Dar es salaam leo imepata ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Kagera Sugar. Katika mchezo huo uliopigwa katika dimba…
Picha ya Shilole akiwa Igunga miaka hiyo.
Picha hii kutoka kwa Shilole enzi zake zamani kabla hajaanza kazi kwenye kiwanda cha burudani, hapo alikuwa anaitwa Zuwena kabla ya majina ya Shilole na Shishi baby hayajaanza kutumika kwenye…
Alichokisema Dudubaya baada ya kusambaa kwa taarifa za kumkata sikio mama yake mkubwa
April 08 kupitia You heard Soudy Brown aliamplify taarifa za Dudubaya kumkata sikio mama yake mkubwa ikielezwa kuwa anamhisi mama yake huyo anamloga kimuziki ambapo baada ya hizo stori kusambaa,…
Sikiliza hapa wimbo mpya wa Skylight Band – Kariakoo.
Huu ni wimbo wa tatu kuachiwa rasmi na Skylight Band baada ya Carolina na Nasaka Dough audio hii imefanywa katika studio za Skylight studio na producer ni Tuddy Thomas. Bonyeza…