Mkono wa NMB kwa wajasiriamali wa Dar es salaam.
Benki ya Nmb imetoa mafunzo kwa wajasiriamali mbalimbali wa Dar es saam ambapo semina hiyo imehudhuriwa na wanachama zaidi ya 400 wa Nmb Business Club kutoka wilaya za Kinondon,Ilala na…
Sikiliza Magazeti yakisomwa Redioni leo March 26.
Tumia hizi dakika 15 kwa ajili ya kusikiliza kilichoandikwa kwenye Magazeti mbalimbali ya leo na hapa yanasomwa na kuchambuliwa na Gerald Hando kutoka kwenye kipindi cha Power Breakfast. 87.9 Clouds…
Justin Bieber ajichora tatoo kubwa kwenye mikono yake.
Yule Justin Bieber ambaye ulikuwa unamjua wakati anatoa album ya My World na wimbo kama Baby, basi sio huyu wa sasa hivi tena. Kwenye list ya forbes ya over exposed…
Kutana na picha ya Jose Chameleone akihesabu pesa zake kwa mashine.
Jose Chameleone ni mmoja kati ya wanamuziki wa Afrika ambaye aliwahi kutajwa kuwa ana utajiri mkubwa sana. Kwenye hii picha Jose Chameleone anaonekana akitumia mashine ya kuhesabia pesa akizihesabu dola…
Magazetini leo Jumatano March 26 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania.
Matokeo ya mechi za Manchester United na Arsenal March 25.
Ni mechi nyingine ambayo kwa uhakika wengi wamebaki na huzuni baada ya mategemeo kugoma kutokea kama walivyotarajia hasahasa kwa upande wa Manchester United.
Maneno ya Diamond baada ya BASATA kufuta nyimbo tuzo za KILI 2014
Baraza la sanaa la Taifa (BASATA) March 25 2014 wakati wa utangazaji wa wasanii wanaowania tuzo za KILI 2014 limesema limezifuta nyimbo tatu za wasanii wa bongofleva kwenye ushiriki wa…
Msikilize Mbwiga wa March 25.
Msikilize Mbwiga leo March 25 katika udambwi dambwi wa kimichezo ambao unakujia kupitia Sports Extra kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa. 104.4 Clouds Fm inasikika ukiwa Dodoma. Bonyeza play kusikiliza.
Habari 10 za AMPLIFAYA March 25 2014
Amplifaya ni show ambayo inasikika kupitia Clouds FM Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa moja usiku ikihusika kutoa stori zote kumi kubwa za siku za siasa, muziki, michezo, movies, maisha na…
Gari alilonunua Masanja Mkandamizaji na maneno aliyoandika.
Masanja Mkandamizaji ambae anatajwa kuwa miongoni mwa wachekeshaji wachache wa Tanzania waliofanikiwa kimaisha, amesema 'Mungu wangu ni mzuri, asante Mungu kwa kunipendelea... usafiri huu kwangu ni muujiza'