Man Utd vs Man city… ni mara ya ngapi kukutana leo? rekodi nyingine je?
Wapinzani wa jiji la Manchester kwenye soka Manchester United na Manchester City wanakutana leo katika mechi ya raundi ya ligi kuu ya England kwenye uwanja wa Old Trafford. Wakati tunaisubiria…
Alichosema Ashley Cole kuhusu tuhuma za ushoga
MAPEMA wiki iliyopita uvumi ulisambaa nchini England kwamba gazeti maarufu la The Sun lilikuwa mbioni kuchapisha stori ndefu iliyohusu kashfa ya ushoga ya mlinzi mmoja wa sasa wa kushoto wa…
Mahakama yaiagiza TFF kulipa Milion 106,kisa Yanga.
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imepokea amri ya Mahakama Kuu (Kitengo cha Kazi) kukamata sh. milioni 106 za klabu ya Yanga kutokana na mapato ya mlangoni kwenye mechi…
Jitihada zinaendelea kuokoa maisha ya huyu mtoto alie na risasi kichwani baada ya shambulio Mombasa
Ripota wa millardayo.com na AyoTV nchini Kenya Julius Kipkoich amenitumia hii taarifa inayo muhusu huyu mtoto aitwae Satrin Osinya ambae bado anarisasi kichwani mpaka sasa kutokana na shambulizi lililofanywa kanisani…
List imetoka, wanaowania tuzo za KILI 2014 ndio hawa, zilizoachwa ziko hapa pia
Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) limetangaza rasmi matokeo ya mchakato wa kuwapata wateule rasmi yaani 'nominees' wa vipengele 34 vya tuzo za muziki Tanzania. Kabla ya kuanza kutajwa kwa wanaowania…
Kuhusu shambulizi la Kanisa Mombasa na mtoto ambae mpaka sasa ana risasi kichwani
Idadi ya waliofariki kutokana na shambulizi la Kanisa Mombasa Kenya March 23 2014 imefikia sita ambapo wote hao vifo vyao vimetokana na majereha ya risasi huku wengine tisa waliokua wakipata…
Sikiliza Magazeti yakisomwa Redioni leo March 25.
Hizi ni dakika 14 za kusikiliza kilichoandikwa kwenye kurasa mbalimbali za magazeti ambayo nimekurekodia kwa ajili ya kusikiliza na kuchambuliwa na Gerald Hando kupitia Power Breakfast. 88.0 Clouds Fm inasikika…
Kurasa za mwanzo na mwisho Magazetini leo March 25 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania.
Picha 4 zilizofanya mwimbaji Nyota ndogo kuandamana hivi na Wanawake kumpinga huyu msanii mwenzake
Colonel Mustapha ni miongoni mwa Wasanii wa longtime kidogo kwenye game ya muziki Kenya toka enzi hizo akiwa kwenye kundi lililotoa hit single yenye maneno 'bibi yake mufupi, kijana murefu…
Picha 9 za jinsi taarifa mpya za ndege ya Malaysia zilivyopokewa na ndugu na msg waliyotumiwa.
Waziri wa Malaysia amebadilisha vichwa vya habari duniani kwa kusema ripoti ya shirika moja la Uingereza inadhihirisha kwamba ndege ya Malaysia iliyopotea zaidi ya siku 15 zilizopita, ilianguka kwenye bahari…