Mauaji yafanyika kanisani huko Mombasa.
Leo hii jumapili tarehe 23/3 watu kadhaa ambao wanasadikika kuwa ni magaidi wamevamia kanisa moja linalojulikana kwa jina la Joy Jesus Church huko Mombasa na kuanza kupiga risasi kanisani hapo.…
Kurasa za mwanzo na mwisho kwenye magazeti ya leo tarehe 23/3/2014
Hivi ndivyo zinavyoonekana kurasa za mwanzo na mwisho kwenye magazeti yaliyotoka leo Jumapili tarehe 23/3/2014
Unaambiwa Chris Brown hali wala halali huko jela.
Chris Brown baada ya kuvunja sheria za rehab alifukuzwa na baadae kukamatwa, hivi sasa amewekwa jela kwa muda wa mwezi mmoja. Mtandao mmoja wa huko Marekani umeripoti kwamba Chris Brown…
Picha 15 za harusi ya Paul wa P Square na Anita Isama
Baada ya pacha wake kufunga ndoa, hivi sasa ni zamu ya Paul Okoye ambaye amefunga ndoa ya kimila na mchumba wake wa muda mrefu Anita Isama. Paul na Anita wana…
Saa chache baada ya hotuba ya Rais Kikwete,hiki ndicho walichokisema vyama vya upinzani.
Wenyeviti wa vyama vya Upinzani kutoka Chadema,Chama cha Wananchi (CUF) na Chama cha NCCR-Mageuzi, jana usiku March 21 mara baada ya hotuba ya Rais March walikutana ili kutoa kauli ya…
Baada ya Chelsea na Liverpool kushinda sita, hizi ndizo walizoshinda Man united.
Baada ya watani wao wa jadi kupata kipigo cha magoli sita kutoka kwa Chelsea, Man united wamemaliza siku yao ya jumamosi kwa ushindi huu dhidi ya West Ham United.
Leo naona ni siku ya sita… matokeo ya Cardiff vs Liverpool yako hapa
Baada ya Chelsea kuifunga Arsenal 6-0, muda mfupi baadae haya ndio matokeo ya Cardiff vs Liverpool leo March 22 2014.
Eti Mourinho alishangilia hivi kwenye chumba cha Wachezaji leo… (video)
Game ya leo ya Chelsea vs Arsenal imeisha kwa Chelsea kufunga ushindi wa goli sita kwa sifuri ambapo list ya wafungaji na mengine vipo kwenye post iliyopita. Wakati game hii…
Matokeo ya Yanga vs Rhino Rangers ya Tabora
Klabu bingwa ya ligi kuu ya Vodacom Dar Young Africans leo imeendeleza ushindi katika mfululizo wa mechi za ligi kuu ya Vodacom ambapo imefanikiwa kuifunga Rhino Rangers ya Tabora 3-0…
@ZittoKabwe kuhusu rasimu ya katiba mpya, nukuu aliyoipenda, kisichomridhisha, mapato na mengine
Bunge la katiba ambalo limekusanyika kwa ajili ya katiba mpya limekua ni bunge ambalo pia Watanzania wengi wamekua wakilifatilia na hata kutoa maoni yao kuhusu kinachoendelea. Yafuatayo ni aliyoyaandika Zitto…