Ya huyu Mwanamke wa Russia kukalia hiki kiti chenye umbo la Mwanamke wa Kiafrika umeiona?
Russian Socialite ambae ni muhariri wa jarida la Garage magazine, Dasha Zhukova akiwa pia ni patner wa mmiliki wa club ya Chelsea Roman Abramovich, ameingia kwenye maporomoko ya matusi na…
Ulimis kusikiliza Magazeti yakisomwa asubuhi?sikiliza hapa.
Baada ya kusoma kurasa za magazeti tumia dakika hizi 13 kusikiliza kilichoandikwa kwenye kurasa za magazeti ya leo ambayo unapata nafasi ya kusikiliza yakichambuliwa na PJ kwenye Power Breakfast ya…
Ajali nyingine yatokea asubuhi hii Mtwara.
Taarifa iliyotufikia hivi punde ni kuhusu ajali ambayo imetokea asubuhi hii ya leo majira ya sa 12 huko Mtwara ambayo imehusisha wanafunzi wa Shule ya Secondary ya Mustapha Sabodo ambao…
Unataka kuwaona wanaotuhumiwa kushambulia Westgate? tazama walipokwenda eneo la tukio chini ya ulinzi
Ripota wangu wa nguvu Julius Chemitei kutoka Nairobi anaripoti kwamba Hakimu na pande husika dhidi ya washukiwa wa shambulio la Westgate wametembelea eneo la tukio kutekeleza amri iliyotolewa na hakimu…
Kurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo January 22 2014
Kila siku hapa millardayo.com huwa naweka magazeti ya siku husika, kuanzia udaku michezo na hardnews nikiamini kwamba wakati mwingine unaweza kuwa mbali na yanakopatikana au yakawa yanachelewa kukufikia asubuhi. Lengo…
Eti jeshi la Nigeria limewaambia nini Wasanii wanaovaa sare za jeshi kweye video?
Jeshi la Nigeria limetoa onyo kwa watu wote maarufu wa nchi hiyo kutovaa tena nguo za kijeshi uraiani na hata kwenye video zao kwa upande wa Wasanii kutokana na kulidhalilisha…
Umeliona tangazo la TV alilofanya Michelle Obama? liko hapa kama hujaliona. @letsmove
Wiki iliyopita Miami Heat walitembelea Ikulu ya Marekani kusherehekea uchampion wao wa mwaka 2013 ambapo wakiwa hapohapo Ikulu waliungana na first lady kusupport kampeni ya let's move kwenye tangazo la…
Zile mali za mastaa, mwimbaji Barnaba nae katuonyesha hii ndio nyumba aliyojenga.
Sio kwamba mastaa wa zamani wa bongofleva hawakuwa wanapata chochote kwenye malipo kutokana na kazi zao bali imefahamika kwamba mipangilio na matumizi mazuri ya fedha havikuzingatiwa sana kwa baadhi ya…
Unayataka magoli yaliyofungwa na Yanga huko Uturuki dhidi ya Simurk PIK? video iko hapa
Post hii ni maalum kwa kila anaefatilia stori za club ya Yanga ambayo imekua nchini Uturuki kwenye kambi ya kujiweka imara zaidi kwa ajili ya mechi zijazo.
Jinsi Diamond alivyokwenda kuwalipia ada shuleni watoto walioshinda kucheza ‘ngololo’ na pesa aliyolipa.
Mwimbaji Diamond Platnumz Jumanne ya January 21 2014 alitimiza ahadi yake kwa watoto walioshinda kwenye tamasha la watoto la Xmas aliloliandaa na kukutana na watoto kwenye stage ambayo pia alishindanisha…