Sikiliza You heard ya leo inayowahusu Weusi
Maisha ya mastar wetu wa Tanzania huwa yanazungukwa na vitu vingi sana,Soud Brown ana-amplify taarifa za kundi la Weusi kumhama Producer wao waliyekua wanafanya nae kazi toka zamani kisa ni…
Ushawahi kusikia mvua inayonyesha sehemu moja tu ndani ya nyumba?Sikiliza heka heka hapa.
Uswahilini hakuishiwi vituko kila kukicha,hiki ni kipya ambacho kimetokea huko Mwananyamala inamhusu mpangaji ambae kakutana na kituko cha aina yake kwa kunyeshewa na mvua kitandani tu,sikiliza kupitia 104.1 Clouds Fm…
Kuwa kati ya watu wa kwanza kuangalia video ya Tema mate tuwachape kutoka kwa Madee.
Video hii imefanywa na Ogopa videos kutoka Kenya na wimbo umerekodiwa kwenye studio za MJ Record. Kuwa kati ya watu wa kwanza kuingalia video hii ambayo ni ya kwanza kwa…
Kutoka kwa Diva na Adam Mchomvu baada ya headlines za kusimamishwa kazi Clouds FM
Jana kitu kilichokua headline kubwa kwenye mtandao ni kuhusu Adam Mchomvu, Diva na B12. Hizi ndio status walizoandika Adam Mchomvu na Diva kwenye kurasa zao za instagram.
Jinsi ambavyo madereva Boda boda Mbeya walipoamua kuondoka na mwili wa Marehemu Kanisani.
Madereva boda boda kutoka Uyole-Mbeya wameingia kwenye headline baada ya kuamua kuondoka na mwili wa marehemu Gabriel Osward Ngalele ambaye alikua pia ni dereva boda boda mwenzao. Tukio hilo limetokea…
Magazeti ya leo Alhamisi January 16 2014
Kila siku hapa millardayo.com huwa naweka magazeti ya siku husika, kuanzia udaku michezo na hardnews nikiamini kwamba wakati mwingine unaweza kuwa mbali na yanakopatikana au yakawa yanachelewa kukufikia asubuhi. Lengo…
Dakika 20 za kusikiliza Magazeti ya leo January 16 yakisomwa Redioni.
Kuperuzi na Kudadisi inatoa nafasi ya kusomewa kilichoandikwa kwenye kurasa mbalimbali za magazeti ya siku husika,kupitia millardayo.com pia unasikiliza huo uchambuzi wa magazeti endapo pengine wakati yanasomwa haukua karibu na…
Namna ambavyo Tbs walivyoendesha operesheni kataza kuuza nguo za ndani za mitumba
Januari 15 wafanyabiashara wa nguo za ndani wa soko la Karume hawakuimaliza vizuri siku hii baada ya Shirikia la Viwango Tanzaniakwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Nchini kuendesha operesheni ya…
Msikilize Mbwiga leo Jan 15
Imalize siku yako kwa kumsikiliza Mbwiga wa Mbwiguke,na ameongelea kilichomkuta mtunza pesa wa timu ya Simba wakati wakati gari yao ilipoharibika,Sikiliza kupitia 88.4 Clouds Fm Mtwara. Bonyeza play kusikiliza.
Picha kutoka kwa Beyonce jinsi alivyosherekea birthday ya mwanae Blue Ivy
Blue Ivy ametimiza miaka 2 tangu azaliwe na siku ya birthday yake Beyonce na Jay Z walikodi Zoo kwa ajili ya kusherekea pamoja na marafiki zao. Beyonce kupitia mtandao ame-upload…