Picha za Roberto Carlos wa Brazil alipokutana na Wachezaji wa Yanga Uturuki.
Beki wa kushoto wa zamani wa Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil Robert Carlos leo asubuhi amekutana na wachezaji na viongozi wa Yanga kabla ya mazoezi. Carlos Kwa…
Sikiliza You heard ya leo hapa
Kwenye Xxl leo Soud Brown amemplify taarifa zinazohusu Msanii toka Manzese Ney wa Mitego,baada ya kusemekana kuachana na mpenzi wake,hiki ndo kitu kipya kilichoibuka kwake,sikiliza kupitia 87.5 Clouds Fm Shinyanga.…
Hii ni kutoka Kenya jamaa amefufuka akiwa chumba cha kuhifadhia maiti
Hii ni kutoka kwa majirani zetu ambapo tunaambiwa Wananchi wa Kenya wameshangazwa na taarifa ya kuzinduka kwa mwanaume mmoja aliyedhaniwa kuwa amekufa ambapo alizinduka akiwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti…
Wanamgambo 30 wa Al-Shabaab wauwawa
Taarifa kutoka 254 zinasema Jeshi la Kenya linalopambana na kundi la wanamgambo la al-Shabaab linasema mpaka sasa wapiganaji 30 wa kundi hilo wameuawa Kusini Magharibi mwa Somalia,Msemaji wa jeshi hilo…
Wema Sepetu na Diamond wamerudi tena??? hii video kaipost Wema leo
Wema Sepetu amepost hii video kwenye page yake ya Instagram na kuandika, "In da middle of his writing session...jus had to distrub him a little". Bonyeza play uione video yenyewe…
Ya moyoni mwa Naibu spika Job Ndugai
Wengi tumeanza kumfahamu kupitia nafasi yake aliyonayo kwenye bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ila amekubali kukaa na millardayo.com na kuongelea upande wake wa pili,tumezoea kumsikia tu bungeni akiwa…
Heka heka ya leo hii hapa
Huu ni muendelezo wa Heka heka ya yule dada aliyekuwa ameumia mguu kisha ndugu zake aliokuwa akiishi nao kumwacha bila kumpleka hospital,kwa sasa anaendelea vizuri na kazungumza pia na Idara…
Ni time nyingine ya Vodacom
Tuipokee na hii kutoka mtandao uleule ambao una sifa ya kurahisisha maisha ya Watanzania.
Kutana na mtoto mwenye umri wa miaka 6 analipwa zaidi ya milioni 12 kwa wiki
Mtoto mwenye umri wa miaka 6 ambaye anahusika kwenye series ya comedy ambayo itaanza kuonekana hivi karibuni analipwa dola 8,000 kila wiki akitokea kwenye episode moja. Kutokana na mkataba wake…
Kama ulizisoma za Magazeti na Mtandaoni, Baba Kanumba anasema haya ndio yake kuhusu Lulu.
January 7 2014 ilitoka stori ya mwigizaji Lulu ikihusu alichokiandika kwenye page yake ya instagram ambacho ndio hiki hapa chini, ilikua ni siku ya kuzaliwa ya Mama wa marehemu Steven…