Hivi ndivyo Madee alivyomzawadia gari meneja wake.
Meneja kutoka Kundi la TipTop Conection lenye maskani yake pale Manzese Tip Top Babu Tale usiku wa kuamkia tarehe 1 2014 alikua akiadhimisha siku yake ya kuzaliwa ambapo katika vitu…
Sikiliza Magazeti ya leo yakisomwa Redioni
Hizi ni dakika 16 za kusikia kilichoandikwa kwenye kurasa mbalimbali za magazeti kupitia kwenye kipindi cha Power Breakfast kwenye sehemu ya Kuperuzi na kudadisi,Sikiliza pia kupitia 88.0 Clouds FM Tabora.…
Magazeti ya leo January 02 2014
Kila siku hapa millardayo.com huwa naweka magazeti ya siku husika, kuanzia udaku michezo na hardnews nikiamini kwamba wakati mwingine unaweza kuwa mbali na yanakopatikana au yakawa yanachelewa kukufikia asubuhi. Lengo…
Namna 88.5 Dar es salaam walivyokusanyika kwenye kilele cha miaka 14 ya Clouds Fm
Leo ni ile siku ambayo ilikua ikisubiriwa kwa hamu na wakazi wa 88.5 Dar es salaam siku ya kilele cha miaka 14 ya Clouds Fm ambapo timu ya Clouds Fm…
Taarifa ya Ikulu kuhusu kifo cha Waziri wa fedha William Mgimwa.
Rais Jakaya Kikwete amepokea kwa mshtuko na huzuni kubwa taarifa za kifo cha Waziri huyu wa fedha William Mgimwa na kwamba taifa limempoteza katika kipindi ambacho linamuhitaji zaidi kutokana na…
Picha na taarifa za ajali ya basi la abiria 88.5 Morogoro.
Naambiwa basi la Taqwa na Lori ndio vimehusika kwenye hii ajali Mikumi baada ya basi kujaribu kulipita lori ambapo kwenye hii ajali watatu wamefariki ambao ni Wanawake wawili na Mwanaume…
Taarifa kuhusu kifo cha Waziri wa fedha wa Tanzania.
Taarifa zilizoifikia millardayo.com ni kwamba Waziri wa fedha wa Tanzania William Mgimwa amefariki dunia leo hospitali ya Milpark nchini Afrika Kusini alipokuwa amelazwa kwa siku kadhaa. Taarifa ambazo HAZIJATHIBITISHWA zinasema…
J Martins ameumaliza mwaka 2013 kwa kujinunulia hili gari aisee
Mwimbaji staa J Martins kutoka Nigeria ambae amefanya collabo na Ommy Dimpoz kwenye wimbo wa Tupogo na pia kufanya show kwenye Fiesta ya 2013, amemaliza mwaka 2013 kwa kununua gari…
Jana ndio ilikua siku ya Kalapina kupigana ulingoni, unajua nini kilitokea?
Yaweza kuwa ni nafasi ya wasanii wa Tanzania kujaribu upande wa pili wa maisha yao kwenye utafutaji pesa manake msanii Kalapina toka block41 Kinondoni Kikosi cha Mizinga ameamua kuangalia upande…
Huyu ndio staa mwingine wa hiphop duniani aliekitumia kiswahili tena.
Mpaka 2013 imemalizika, Kiswahili kimechukua headlines mara kadhaa kwenye AyoTV na millardayo.com kutokana na kutumika kwenye sehemu ambazo hatujazoea kuona kikitumika mfano kupatikana kwa video za raia wa Marekani na…