Oliver Kahn: Chelsea walinunua taji la ubingwa wa ulaya
Gwiji wa soka wa klabu ya Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumani golikipa Oliver Kahn anaamini pesa sasa ndio inayoamua matokeo katika mchezo wa soka, akisisitiza kwamba namna Chelsea walivyoshinda ubingwa…
Mourinho: Nasikitika kuondoka kwa Mata, lakini Oscar ni bora zaidi kwangu
Kocha wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho amesema kuwa ulikuwa ni 'uamuzi mgumu' kwake kumwachilia mchezaji wa kiungo cha kati wa timu ya taifa ya Hispania Juan Mata kujiunga na…
Breaking:Mc-D wa Twanga pepeta afariki Dunia usiku huu.
Kama mfatiliaji wa muziki wa Dansi Tanzania,jina la Mc D si jina geni kwako,jina lake halisi ni Masoud Mohamed,ni mpiga tumba kutoka bendi ya African Stars Band'Twanga pepeta' taarifa hizi…
Hiki ni kitu hiki kipya toka Clouds Tv,jiandae kukipokea mtu wangu.
Kama bado hujajiunga na familia ya Clouds Tv huu ni muda muafaka kwako kwani mambo mazuri mengi yapo njiani yanakuja kwa ajili yako mtu wangu wa nguvu,ujio huu hauko mbali,hii…
Msikilize Mbwiga wa Mbwiguke leo January 27.
Huyu ni Mbwiga wa Mbwiguke kutoka kwenye team ya Sports Extra hapa anasema na wewe mpenzi wa michezo kwa mpira uliokua unachezwa kipindi cha nyuma,naomba nikuunganishe nae kwa hizi dakika…
Ushawahi kupata picha ya Ronadinho Gaucho akiwa nyuma ya mic akiimba?mshuhudie hapa.
Mara nyingi inazoeleka kwa Star yoyote duniani kufanya kitu kilichosababisha awe star,yaani kama muimbaji atajitahidi kukomaa na uimbaji,kama ni mchezaji mpira atajitahidi kukomaa na mpira,japo kwa sasa tunawashuhudia wasanii wengi…
Birdman aonyesha choo chake kilichotengenezwa na dhahabu, kichokadiriwa kuwa na thamani ya $1mil.
Birdman boss wa record label ya YMCMB ambaye mara nyingi huwa anajisifia kwa matumizi yake makubwa ya pesa kwenye vitu luxury, ameendeleza hivyo vitendo vya kufanya matumizi makubwa ya pesa.…
Hii ndiyo namba aliyopewa Juan Mata ndani ya Man United
Juan Mata amekabidhiwa rasmi jezi ya Manchester united yenye namba
Ulimis kusikiliza You heard ya leo?ipo hapa.
Msikilize Soud Brown aki-amplify story kuhusu Producer Dupri ambaye kuna gari ilikosea njia ikaenda kugonga nyumba anayoishi,kuhusu studio na gharama inayotakiwa kutumika,sikiliza pia kupitia 87.8 Clouds Fm Mbeya. Bonyeza play…
Umesikia muendelezo wa ile Hekaheka iliyokua ikimhusu yule ‘Dobi’ isikilize hapa.
Wiki chache nyuma kupitia Hekaheka kulikua na yule mfanyakazi wa Serikali aliyeitelekeza familia yake na kuhamia kwa mtu aliyetajwa kuwa dobi,ipo pia hapa hapa millardayo.com kama uliimis waeza isikiliza,huu ni…