Sikiliza kilichomkuta Kajala baada ya kile kinachosemekana kumgombania Jamaa kupitia You heard ya leo
Mapenzi yana namna nyingi yanavyoweza kuchambuliwa au kuelezewa,hebu sikiliza kilichomtokea Kajala kwa kile kinachoonekana kumgombania Jamaa ambaye ilishatoka story kwamba hawako pamoja,Sikiliza kupitia 88.3 Clouds Fm Kigoma. Bonyeza play kusikiliza.
#Exclusive: Unataka kuona mshindi wa BSS 2013 amezitumiaje milioni 50 zake? picha za alivyovifanya ziko hapa
Jina lake ni Emmanuel Msuya ambae usiku wa November 30 2013 Escape One Mikocheni Dar es salaam alitangazwa mshindi wa BSS kwa mwaka 2013 na kuzichukua MILIONI 50 kutokana na…
Najua watu wengi watamsupport @FlavianaMatata kwenye hili, hii ni hatua nzuri
Leo January 21 2014 Mwanamitindo Mtanzania aishie na kufanya kazi New York Marekani Flaviana Matata, amekamilisha mizunguko kwenye shule alizozipa misaada na kutoa shukrani za pekee kwa waliomsaidia kwenye huu…
Ni kweli Rose Muhando alilipwa hela na hakutokea kwenye Matamasha, kinachofata kiko hapa
Kwenye headlines kubwa za muziki wa Injili Tanzania mwaka 2013, jina la Rose Muhando lilichukua nafasi yake pia kutokana na taarifa kadhaa kwamba amekua akilipwa pesa za kuimba kwenye matamasha…
Baada ya taarifa za kufungiwa kwa hii video ya Jux sababu ya hizi picha, yeye kasemaje?
Ni mara chache kusikia video flani ya bongofleva haichezwi kwenye vituo vya TV kwa sababu ya wamiliki wa vituo hivyo kuona haina maadili hivyo haiwezi kuruhusiwa kuonyeshwa kwa mamilioni ya…
Nimeweka vocha ya Vodacom ya elfu 10 hapa kwa atakaewahi aisee
Usishangae siku nyingine ukiwahi kuamka ukakutana na zawadi mbalimbali hapa zikiwemo vocha hapa millardayo.com ni kitu ambacho kitakua kinafanyika mara kwa mara, yani hii sio sehemu ya kupata habari tu...…
Pichaz mbalimbali ikiwemo ya Baa iliyo ndani ya ndege ya Emirates.
Shirika la ndege la Emirates linasifika kuwa na ndege za gharama na kifahari duniani ambapo wanasema mpaka mwaka 2018, wanataka kuwa wanamiliki ndege za abiria zaidi ya 320. Mpaka mwaka…
Magazeti ya leo January 21 2014 na stori za Udaku, Michezo na Hardnews
Kila siku hapa millardayo.com huwa naweka magazeti ya siku husika, kuanzia udaku michezo na hardnews nikiamini kwamba wakati mwingine unaweza kuwa mbali na yanakopatikana au yakawa yanachelewa kukufikia asubuhi. Lengo…
Umekisoma alichosema Rais Obama kuhusu bangi?
President Barack Obama wa Marekani amesema kuvuta bangi ni salama zaidi kuliko kunywa pombe lakini akawasisitizia mabinti zake kwamba hilo sio wazo zuri pia ambapo kwa mujibu wa gazeti la…
Interview aliyoifanya mwezi uliopita Lesego Motsepe ‘Letty Matebane’ wa Isidingo aliefariki jana.
Taarifa zilizotoka zinasema Motsepe ambae alijitangaza kuishi na virusi vya UKIMWI mwishoni mwa mwaka 2011 amekutwa amefariki saa tano asubuhi nyumbani kwake. Kama hii taarifa ilikupita unaweza kusoma kwenye post…