Kama umepotelewa na mtoto hii Heka heka ya leo inakuhusu
Hii ni heka heka iliyotokea hapa 88.5 Dar juu ya mtoto aliyepotea na kuokotwa na msamalia mwema,mtoto huyu kwa maelezo yake anatokea Tanga 96.o japo anadai alikuja na baba yake…
Yote aliyoyasema Tundu Lissu nje ya Mahakama baada ya Zitto Kabwe kushinda
Jana Januari 7 2014 ni siku ambayo Mahakama kuu kanda ya Dar es salaam ilitoa uamuzi juu ya Kesi iliyokuwa ikiwahusu Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe na Chadema ambapo…
#Exclusive: Zitto Kabwe baada ya ushindi anasema hizi ni salamu anapenda Wananchi wazifahamu
Dakika kadhaa baada ya kushinda kesi dhidi ya Chadema Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe alitoa nafasi kwa millardayo.com kuwa chombo pekee cha habari kumfanyia mahojiano. (Exclusive interview) Yafuatayo ni…
Picha za utengenezaji wa video ya “Nje ya box” Joh Makini alivyotupia sasa
Hizi ni baadhi ya picha za utengenezwaji wa video ya 'nje ya box' iliyofanywa na Nikki wa II, Joh Makini na G Nako ambapo video hii inafanyika Arusha (87.9 Clouds…
Sikiliza hapa Magazeti ya leo yakisomwa Redioni
Hizi ni dakika 14 za Kuperuzi na Kudadisi leo Jan 8 kusikiliza kilichoandikwa kwenye kurasa mbalimbali za Magazeti ya leo,Kuna taarifa za Kuhusu Zitto Kabwe alivyoshinda kesi na vingine vingi…
Kuhusu hii ya Lionel Messi kurudi uwanjani
Unaambiwa baada ya kukaa benchi kwa siku 58 kutokana na majeraha, mkali wa soka Lionel Messi amepewa kibali cha kurudi uwanjani rasmi baada ya kuonekana kuwa fit kiafya. Hapa chini…
Huyu ndiye anaweza kuwa mrithi wa Chris Brown kwa Rihanna?
Badgalriri kama anavyojiita kwenye instagram ameweka wazi hisia zake juu ya huyu jamaa ambaye ni mchezaji wa American football. Siku ya jumatatu alipost picha ya mchezaji wa Philadelphia Eagles "Mychal…
Picha na alichoandika muigizaji Lulu siku ya birthday ya Mama Kanumba.
Mama Kanumba atakuwa ametimiza miaka kadhaa hivi sasa na amepokea zawadi ya keki kutoka kwa muigizaji Elizabeth Michael. Lulu ame-share moja ya picha hizo akiwa na Mama Kanumba siku ya…
Breaking: kuhusu kesi ya @ZittoKabwe dhidi ya Chadema na alichotweet Zitto
Hizi ni taarifa za muda mfupi uliopita kutoka Mahakama kuu kanda ya Dar es salaam, kaa karibu na millardayo.com kwa kujiunga na Millard Ayo kwenye facebook, twitter na instagram ili…