Jana ndio ilikua siku ya Kalapina kupigana ulingoni, unajua nini kilitokea?
Yaweza kuwa ni nafasi ya wasanii wa Tanzania kujaribu upande wa pili wa maisha yao kwenye utafutaji pesa manake msanii Kalapina toka block41 Kinondoni Kikosi cha Mizinga ameamua kuangalia upande…
Huyu ndio staa mwingine wa hiphop duniani aliekitumia kiswahili tena.
Mpaka 2013 imemalizika, Kiswahili kimechukua headlines mara kadhaa kwenye AyoTV na millardayo.com kutokana na kutumika kwenye sehemu ambazo hatujazoea kuona kikitumika mfano kupatikana kwa video za raia wa Marekani na…
Unatamani kuona Magazeti ya Tz yameandika nini kwenye siku hii ya kwanza ya 2014?
Kila siku hapa millardayo.com huwa naweka magazeti ya siku husika, kuanzia udaku michezo na hardnews nikiamini kwamba wakati mwingine unaweza kuwa mbali na yanakopatikana au yakawa yanachelewa kukufikia asubuhi. Lengo…
Nay wa Mitego anakupa mwaliko kuitazama hii video mpya ya ‘nakula ujana’
Ni video ambayo imefanywa nchini Kenya ambapo Ney anasema ametumia zaidi ya dola za kimarekani elfu saba kuifanya. Video ameiachia rasmi December 31 2013 on AyoTV.