Msikilize Mbwiga leo Jan 3
Leo Mbwiga ameongelea mpira wa Kigoma na historia ya wachezaji waliotokea Kigoma ambayo ni mastar pia....moja ya timu alizozingumzia ni timu ya Sygon,Sikiliza kupitia 88.4 Clouds Fm Mtwara. Bonyeza play…
Kauli ya Chadema juu ya kesi yao na Zitto Kabwe leo.
Bado kesi ya Chadema na mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe inaendelea baada ya Jaji kuahirisha kesi hii ambayo imeonekana kuwa na msuguano wa kisheria pande zote mbili, upande wa…
Baada ya kesi ya Zitto na Chadema kuahirishwa hizi ndio picha za matukio nje ya Mahakama
Leo ilikua itoke hukumu kwenye kesi ya Zitto Kabwe na Chadema lakini Mahakama kuu kanda ya Dar es salaam imeahirisha kesi hiyo mpaka Jumatatu tarehe 6 Januari saa 4…
Kama una mpango wa kwenda kuangalia movie weekend hii, ratiba nzima ipo hapa.
Wapenzi wa movie za 3D wiki hii kuna movie kwa ajili yenu inaitwa "Walking with Dinosaurs" ambayo inaanza kuonyeshwa leo kwenye theater mbalimbali. Angali hapa trailer yake pamoja na ratiba…
Picha za msanii Jaguar alipojichanganya na wafungwa jela.
Picha hizi zimezua mshtuko kwenye internet kwamba Jaguar ameshikiliwa na polisi na kuwekwa jela? jibu lake ni NO, anajiandaa tu kutoa kazi mpya inaitwa "Kioo". Unaambiwa alijichanganya kwenye jela ya…
Sentensi 2 za Polisi kuhusu kifaa kilichosemekana kwamba ni bomu la mkono Dsm
Polisi Kinondoni inasema 'January 2 2014 saa tano asubuhi kulikua na taarifa kutoka kwa Mwananchi anasema kaona bomu maeneo ya Shekilango Dar es salaam ambapo Polisi na Wanajeshi wenye utaalamu…
Huyu ndio Mwanamke ‘mzungu’ anaedai kufa na kwenda mbinguni kisha akarudi duniani
Kituo cha TV cha CNN ambacho kimeshinda tuzo kutokana na ubora wa kazi ya kutangaza habari wanayoifanya toka kuanzishwa kwake mwaka 1980, kimetoa ripoti ya Watu watatu wenye ushuhuda wa…
Mwili wa Waziri wa fedha kuwasili Dar es salaam
Mwili wa aliekua Waziri wa fedha na Uchumi Dr. William Mgimwa unatarajiwa kuwasili Dar es salaam Tanzania kesho Jumamosi Jan 4 2014 ukitokea Afrika Kusini kwenye hospitali aliyokua kalazwa. Mwenyekiti…
Picha 10 za Zitto Kabwe akiingia mahakamani asubuhi hii
Ile kesi iliyohairishwa jana baina ya Zitto Kabwe na Chadema leo inaendelea hapa mahakama kuu kanda ya Dar es salaam,Millardayo.com ipo hapa kwa ajili ya kukupatia kila kinachoendelea kwako mtu…