Unatumia facebook?, basi hii inakuhusu kutoka kwa Linex.
Kama wewe ni mtumiaji mzuri wa facebook na pia ni shabiki wa Linex mkali wa Kimugina. Basi hii post inakuhusu sana na imetoka kwa Linex mwenyewe. "Kwa Jina naitwa Sunday…
Chege katoa video ya ‘chapa nyingine’ na imfanywa na Adam Juma aisee, Diamond, Madee ndani.. iko hapa
Hii ndio inakua video ya kwanza kuifikia AyoTV toka mwaka 2014 uingie.... iliwahi kuripotiwa kwamba Adam Juma wa Visual Lab hatofanya tena video za bongofleva lakini mkali huyu ndio kaifanya…
Sikiliza kilichomtokea Stamina,kupitia You Heard ya leo
You Heard ni sehemu nyingine ya kusikiliza kinachoendelea mtaani juu ya maisha ya mastar mbalimbali hapa Tanzania,kupitia Xxl ya Clouds Fm Soud Brown ana-amplify kuhusu deni analodaiwa msanii wa muziki…
Ikiwa ni mwaka mmoja leo toka Sajuki afariki dunia,hiki ndicho alichokiandika Wastara
Leo Januari 02 ni kumbukumbu cha kifo cha Sajuki star aliyekuwa akitokea kiwanda cha filamu Bongo yaani Bongo movie,kumbukumbu zimefanyika nyumbani kwao Sajuki huko Songea,hiki ndicho alichokiandika mke wa Sajuki…
Unaipenda hekaheka? isikilize ya leo hapa ya dada aliefariki.
Hii hekaheka ya leo inamuhusu kaka ambaye alimuokota dada akiwa kwenye hali mbaya kiafya, akamsaidia kwa kumpeleka hospitali lakini kwa bahati mbaya alifariki, sikiliza kilichotokea baada ya kifo cha huyo…
Pichaz za Watangazaji na wanafamilia wengine wa Clouds FM wakitoa misaada Dsm.
Ni tukio ambalo limefanyika Jan 1 2014 ikiwa ni siku ya kilele cha shamrashamra za miaka 14 ya kuzaliwa kwa Clouds FM ambapo ikiwa ni radio ya watu na kutambua…
Breaking: Kuhusu bomu lililoonekana Dar es salaam
Ni taarifa ambazo zimeifikia millardayo.com saa saba kasoro mchana wa January 2 2013 kutoka Shekilango Ubungo Dar es salaam.
Hizi ndio sentensi 24 alizoandika RAY C kuhusu Jackie Cliff anaedaiwa kukamatwa na dawa za kulevya
Ni siku kadhaa zimepita toka taarifa itoke kwenye mitandao kadhaa ya nchini China kuhusu binti wa kitanzania mwenye umri wa miaka 28 akamatwe na dawa za kulevya zenye thamani ya…
Trace TV wanasema hizi ni nyimbo 5 bora duniani mwaka 2013, ya Afrika moja tu
Trace TV ni kituo cha TV cha Ufaransa maarufu kwa burudani ambapo kwa miaka kadhaa sasa hivi kimeendelea kuchukua watazamaji wapya wapenda muziki kila siku kutokana na ubora wa muziki…
Hivi ndivyo Madee alivyomzawadia gari meneja wake.
Meneja kutoka Kundi la TipTop Conection lenye maskani yake pale Manzese Tip Top Babu Tale usiku wa kuamkia tarehe 1 2014 alikua akiadhimisha siku yake ya kuzaliwa ambapo katika vitu…