Habari za Mastaa

Dude amwaga mboga mbele ya Waziri Mwakyembe “Maisha yetu feki mtandaoni” (+video)

on

Katika Kongamano la Waigizaji lililofanyika leo Aprili 15, 2019 wasanii mbalimbali walijitokeza akiwemo Dude ambaye amemuomba Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Harrison Mwakyembe kuwapa vipaumbele wasanii wachanga.

Dude amesema tasnia ya waigizaji ina matatizo, yanayohitaji msaada kwani wengi wao maisha yao ni mabaya na feki kwa sababu ya maisha ya mtandao.

Tuna maisha mabaya kuliko unavyotuona Mwakyembe na siku ukiona tume post picha nzuri nzuri za vyakula ,mtandao ujue tumelala njaa,“amesema.

UTACHEKA: WAZIRI MWAKYEMBE ALIVYOWASEMA WAIGIZAJI “JITAMBUENI, MLEVI NYWEA KWAKO”

Soma na hizi

Tupia Comments