Habari za Mastaa

Cardi B azawadi Mjengo wa kifahari na mpenzi wake Offset

on

Ni Headlines za wakali wawili kutokea Marekani ambapo penzi lao linazidi kung’ara kati ya Offset na Cardi B.

Unaambiwa time hii Offset amnunulia mzazi mwenzake mjengo wa kifahari huko katika visiwa vya Dominican Republic.

Offset alifanya suprise hiyo kwenye hafla ya kusheherekea siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa ambapo Cardi B alitimiza miaka 29.

Unaweza ukabonyeza play kutazama kile kilichojiri katika shughuli hiyo.

MTANZANIA WA KWANZA KUHOJIWA NA KELLY CLARKSON MAREKANI “SIKUAMINI”

 

Soma na hizi

Tupia Comments