Habari za Mastaa

Full Interview ya Diamond Platnumz: Kwanini hakutokea White party Uganda, video ya Wema Sepetu, scene iliyomuhuzunisha na mengine

on

Ni Interview ambayo mwimbaji Diamond Platnumz alihojiwa CloudsFM kwenye LeoTENA December 22 2015 ambapo ndani yake alizungumzia kutokutokea kwenye show ya Zari All White Party Uganda, video ya Wema Sepetu iliyosambaa akiimba wimbo wa Diamond na mengine mengi.

Ukibonyeza play kwenye hii video hapa chini utasikia yote aliyosema Diamond ikiwemo ya Mama yake alivyoigiza kwenye wimbo wake mpya wa ‘Utanipenda?’ ambayo ndio anaanza kwa kuiongelea….

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments