Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Dokii afunguka kuhusu kurudi kuigiza na kugeukia vichekesho

on

Mwimbaji na msanii mkongwe wa maigizo Tanzania Dokii ameamua kurudi kwenye uigizaji kwa namna ya pekee baada ya kugeukia vichekesho ambapo mara hii ameungana na Timamu na mchekeshaji Mpoki.

Kwenye EXCLUSIVE Interview na Ayo TV na millardayo.com Dokii amekiri kuwa kimya kwa muda mrefu akifanya biashara tofauti ya muziki na uigizaji lakini sasa ameamua kurejea akigeukia vichekesho.

Bonyeza Play kusikiliza Full Story

VIDEO: Mfahamu Mbunifu wa Mavazi anayetamani kumvalisha Rais JPM

VIDEO: Steve RNB afunguka kuhusu ukimya wake, ujio mpya

Soma na hizi

Tupia Comments