Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Billnass na Nandy wasimulia penzi lao, ile video na mengine ‘siku hiyo tuliacha wazi mlango wa chumba’

on

Wakati Billnass na Nandy wameachia video yao mpya iitwayo ‘bugana’ dakika chache zilizopita, hii ni EXCLUSIVE Interview ya wawili hao na Millard Ayo kwenye On AiR with Millard Ayo ambapo wamefunguka mengi yanayowahusu, kuanzia mapenzi yao yalipoanzia, nini kilichosababisha wagombane, nani alikua tatizo na mengine…. bonyeza play hapa chini kutazama hii part one

VIDEO MPYA YA BILLNASS FT. NANDY ‘BUGANA’ BONYEZA HAPA CHINI KUTAZAMA

EXCLUSIVE: JAMAA ALIEIMBA ‘NIKAGONGEE NYAGI’ ASIMULIA MAISHA YAKE NA JINSI ALIVYOIDHARAU HIYO NGOMA YAKE, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments